tweetindex
DE

Clouds Media

@CloudsMediaLive · 88.5 FM Dar es salaam · joined 01 Jun 2015

A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.

1 935 068Followers
43Following
80 573Posts total
39.8KViews on collected posts

Neueste Beiträge

@CloudsMediaLive @FKihamu Huyu kweli hamna. Kitu tafuteni mchambuz mwingine 38 views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Watanzania wanaoishi katika nchi mbalimbali za Ulaya ikiwemo Ujerumani, Bulgaria, Czech Republic, Hungary, Poland, Romania, Slovakia, Uswisi na Vatican wamekaribishwa kushiriki katika clinic maalum itakayofanyika jijini Berlin tarehe 2 hadi 3 Mei mwaka huu. Akizungumza kuhusu ht
2:06
6.2K views · 38 likes · 8 reposts · 1 replies Open on X →
@CloudsMediaLive @FKihamu Tatizo la kuwa mshabiki bila kusoma vizuri, kuhusu compensation hakutakuwa na direct compensation bali hela watazovuna pale kwenye ushuru wa mlango bahari ndio zitalipa. Tuliza kichwa, mlango bahari unaosema haukufungwa wakat jana kulikuwa na kura ya kuu 111 views · 1 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
@CloudsMediaLive 🤣🤣🤣 wacha tuone nchi za dunia ya tatu watafanya nini? Maana hata mafuta yao ya akiba ya miezi kadhaa waliyokuwa nayo waliyapandisha bei kwa kigezo cha kupanda bei kwenye soko la dunia. 122 views · 2 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@CloudsMediaLive @FKihamu Huyu akachambue mpira au mchele mambo ya vita hawaachie wengne 112 views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Kuhusu suala la vita ya Israel/Marekani na Iran imeisha au haijaisha, lango la Hormuz limefunguliwa au bado?, mazungumzo yamefikia wapi?, @FKihamu anajibu maswali hayo yote. #PBCloudsFM https://t.co/4KdWmgd4oc
9:38
11.5K views · 118 likes · 14 reposts · 8 replies Open on X →
@CloudsMediaLive Afgan ya mashariki bei hupanda fasta ila huchukua karne kushuka watakaa na bei ya mchongo mpaka mwaka 3000 huko 180 views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@CloudsMediaLive Tunaomba @Ndejembi leo mafuta yashuke kama walivyopandisha siku moja mara baada ya kusikia pipa bei kupaa, 204 views · 2 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
Bei ya mafuta katika soko la dunia imeanza kushuka huku masoko ya hisa yakipanda, kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano kwa masharti ya wiki mbili kati ya Marekani na Iran, yanayojumuisha kufunguliwa upya kwa njia muhimu ya usafirishaji kupitia Mkondo wa Bahari wa https:
10.2K views · 135 likes · 9 reposts · 10 replies Open on X →
Akizungumzia maoni ya baadhi ya watoa huduma ya usafirishaji, Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, CPA, Dkt. Habibu Suluo ameeleza ya kwamba, kikokotoo wanachotumia kwa ajili ya kupanga nauli za usafiri, hakioneshi kwamba wasafirishaji watapata hasara kwa sasa kutokana na mabadiliko mapya h
3:29
5.6K views · 41 likes · 2 reposts · 1 replies Open on X →
Jumla ya sh. trilioni 1.77 zinahitajika kwa ajili ya ujenzi wa madarasa, maabara, ajira mpya za walimu, ruzuku ya mitihani, ya vitabu na uendeshaji kwa wanafunzi zaidi ya milioni tatu wanaotarajiwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2028. Hayo yamesemwa Bungeni, jijini Dodoma
5.5K views · 37 likes · 1 reposts · 5 replies Open on X →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

5.5K1 Apr
5.6K2 Apr
10.2K8 Apr
204
180
11.5K
112
122
111
6.2K
38

Last 11 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

0.78%1 Apr
0.79%2 Apr
1.51%8 Apr
1.47%
0.56%
1.22%
0.89%
1.64%
1.80%
0.76%
2.63%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views.

What the audience does

Likes79.4%377 in total
Reposts7.2%34 in total
Replies5.7%27 in total
Bookmarks7.8%37 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Ähnliche Konten