tweetindex
DE

Dr. Philip Isdor Mpango

@dr_mpango · Dodoma, Tanzania · joined 16 Oct 2021

The official account of the Vice President of the United Republic of Tanzania🇹🇿

81 722Followers
0Following
270Posts total
297KViews on collected posts

Neueste Beiträge

@dr_mpango Pamoja na kutumia nguvu kubwa kui-brand hiyo bidhaa yenu- huku mtaani HAIUZIKI. Hata mkibadilisha jina la nchi “TANZANIA” na kuita “SAMIA” Bado HAKUBALIKI na HAPENDWI! 2.2K views · 92 likes · 19 reposts · 2 replies Open on X →
@dr_mpango Mzee Mpango, hawa vijana wasiuwawe, waachiwe, Mungu tu ndiye anawajibu wa uhai wa mtu, #RIPNdugulile https://t.co/vvKlDRhXO9
1.7K views · 31 likes · 7 reposts · 1 replies Open on X →
Nimezindua Hatifungani ya Samia ya Miundombinu (Samia Infrastucture Bond) ambayo inalenga kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 150 ili kuiwezesha TARURA kuongeza mtandao wa barabara za vijijini na mijini. Hatifungani hii itaweza kuwashirikisha wawekezaji wa ndani katika https:
100.8K views · 386 likes · 88 reposts · 112 replies Open on X →
Umekuwa wakati mzuri kuungana na Watanzania wenzangu katika zoezi muhimu la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo tarehe 27 Novemba 2024. Nimetekeleza wajibu wangu wa Kikatiba katika kuchagua viongozi mbalimbali kwenye Kitongoji cha Kihanga, Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya
36.2K views · 393 likes · 66 reposts · 66 replies Open on X →
@dr_mpango Kwa umri wako hupaswi kuleta uchawa kwani wewe kama wewe huwezi toa pole kwa waTanganyika wenzio?? Nchi yangu inateketea aisee 2.1K views · 37 likes · 2 reposts · 0 replies Open on X →
@dr_mpango Unaungana? Huwezi kutoa salamu peke yako? Uko wapi muda huu watu wanahitaji msaada wamefukiwa na kifusi? Shame on you! 22.6K views · 799 likes · 73 reposts · 42 replies Open on X →
@dr_mpango Shikamoo, Vice President Kuna tukio la mauaji lililotokea mwezi wa nane 2024. Mwanaume mwenye familia ya watoto 9 kutoka mtaa wa kishigwe Kijiji cha kasumo, mfanyakazi wa secondary ya Rufino and Ronaldo anayeitwa Nzovu (Mchanda) aliuawa na polisi wa Buhigwe. Wananchi w 4.5K views · 69 likes · 1 reposts · 4 replies Open on X →
Ninaungana na Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutoa pole kwa waathirika wote wa ajali ya kuanguka kwa ghorofa, katika eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam. Ninawaombea uponyaji wa haraka majeruhi wote. Kwa ndugu zetu waliofariki, katika ajali hiyo, tunawaombea kwa 104.4K views · 694 likes · 53 reposts · 193 replies Open on X →
Mkutano wa COP29 unaoendelea nchini Azerbaijan ni fursa nyingine ya Dunia kuunganisha jitihada na kuendeleza mapambano dhidi ya uharibifu wa mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Tanzania inashiriki katika Mkutano huu ikiwa miongoni mwa nchi zinazoathirika na htt
12.1K views · 194 likes · 41 reposts · 18 replies Open on X →
Nawashukuru Viongozi na Wananchi wote tulioshiriki pamoja katika Ziara yangu ya Kikazi mkoani Tabora. Hakika imekua ziara nzuri ya kujionea maendeleo ya mkoa huu pamoja na kuzifahamu vema changamoto zilizopo. Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuboresha na kusogeza jirani na h
10.4K views · 135 likes · 21 reposts · 23 replies Open on X →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

10.4K11 Oct
12.1K14 Nov
104.4K16 Nov
4.5K
22.6K
2.1K17 Nov
36.2K27 Nov
100.8K30 Nov
1.7K
2.2K

Last 10 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

1.73%11 Oct
2.13%14 Nov
0.93%16 Nov
1.64%
4.05%
1.83%17 Nov
1.48%27 Nov
0.59%30 Nov
2.28%
5.08%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views.

What the audience does

Likes75.6%2 830 in total
Reposts9.9%371 in total
Replies12.3%461 in total
Quotes1.3%50 in total
Bookmarks0.8%31 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Ähnliche Konten