tweetindex
DE

Royal Media ✓

@royalmediatz · 😎😎😎 · joined 04 Jul 2019

Uhakika wa Habari, Hadhi ya Kifalme.

321 599Followers
2 585Following
278 624Posts total
18.2KViews on collected posts

Neueste Beiträge

@royalmediatz Royal media mna wazimu??? 0 views · 0 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@royalmediatz Hapo isilaumiwe AI, alaumiwe aliyeitumia AI bila kuhakiki taarifa zake. 15 views · 0 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@royalmediatz Madenge ni mwongo anatumika na mfumo 144 views · 1 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
@royalmediatz Kutishiwa Magoti sawa, ss Madenge atishiwe vip na serikali ambayo aliisaidia kuipata ushahidi wa kilichosababisha yatokee ya Oct 29? Nani amtishe madenge? Kwa sbb gani? Ushawishi upi alionao ss? Kazi zipi za harakati anafanya kwa ss? Aiseeee. N way 225 views · 2 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@royalmediatz Daaaaaaah 😄😄😄😄😄AI imejichanganya kmmmk. Ndio maana huwa inatoa onyo kuwa taarifa inazokupa hazina uhakika 100% so inabidi kuzihakikisha 160 views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Kivuli cha mwaka 2030 kimeanza kuonekana katika mjadala wa kisiasa kufuatia kuondoka kwa aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, huku mazingira ya kujiuzulu kwake na baadaye kufukuzwa uanachama wa CCM yakiibua maswali kuhusu mwelekeo wa siasa za chama hicho kuelekea http 396 views · 2 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Vitisho vinavyodaiwa kulenga wanaharakati, wanahabari na wakosoaji wa Serikali vimeendelea kuibua hofu nchini Tanzania, huku baadhi ya wanaodai kupokea vitisho hivyo wakisema wameamua kuendelea na shughuli zao licha ya hatari wanayoihisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na 4K views · 28 likes · 5 reposts · 9 replies Open on X →
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, imemsimamisha kufanya kazi ya uwakili kwa kipindi cha miezi sita Wakili Johnson Kachenje, baada ya kubainika kunukuu katika hoja zake hukumu za Mahakama ya Rufani ambazo hazikupatikana katika kumbukumbu rasmi za mahakama na ambazo htt 7.6K views · 49 likes · 3 reposts · 4 replies Open on X →
Wananchi wa Mkuranga mkoani Pwani wanatarajia kupata ahueni kubwa ya maisha baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Ardhini (LATRA) kutangaza ruti mpya za usafiri wa mabasi kuiunganisha na jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa, wananchi wa Mkuranga walikuwa wakilazimika 2.6K views · 10 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ameshiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu Mhashamu Vincent Mpwaji, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, iliyofanyika katika Viwanja vya Msimbazi Center – Dar es Salaam, ht 3K views · 29 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →

Im Vergleich zu Konten gleicher Größe

9 Beiträge aus den letzten 90 Tagen, verglichen mit der Größenklasse 100K–1M Follower. erreicht weniger Menschen als Konten gleicher Größe.

Medianaufrufe396dieses Konto5 983Median für 100K–1M
Reichweite, %0.12%dieses Konto1.49%Median für 100K–1M
Interaktion, %0.74%dieses Konto0.93%Median für 100K–1M
KennzahlDieses KontoMedian für 100K–1MVerhältnis
Medianaufrufe pro Beitrag3965 9830.07×
Reichweite (Aufrufe ÷ Follower)0.12%1.49%0.08×
Interaktionsrate0.74%0.93%0.80×

Weitere Konten dieser Größe →   Mit einem anderen Konto vergleichen →   Wie diese Vergleichswerte entstehen →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

3K5 Sep
2.6K
7.6K
4K
396
160
225
144
15

Last 9 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

0.96%5 Sep
0.42%
0.75%
1.08%
0.51%
0.62%
0.89%
1.39%
0.00%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 100K–1M accounts is 0.93%.

What the audience does

Likes75.8%122 in total
Reposts5.6%9 in total
Replies8.7%14 in total
Quotes1.2%2 in total
Bookmarks8.7%14 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Ähnliche Konten