tweetindex
DE

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe ✓

@zittokabwe · Mwandiga-Kigoma/Dar es Salaam · joined 03 Mar 2010

Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

1 670 021Followers
5 412Following
178 576Posts total
415.3KViews on collected posts

Neueste Beiträge

Fainali za Soka za Afrika @AFCONPAMOJA27 zinaanza miezi Tisa ijayo. Nchi yetu katika maandalizi yake bado inagombana kuhusu Jezi. Hii inaonyesha namna tusivyoweza lolote kama Taifa. - @Tanfootball ina mkataba wa jezi tayari. Jezi zimethibitishwa na CAF na FIFA - Waziri ana http
32K views · 148 likes · 15 reposts · 66 replies Open on X →
Hizo za njano za Uto SIVAI! 15.3K views · 56 likes · 2 reposts · 11 replies Open on X →
Msemaji wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) amesema Clifford Mariondimbo amesema suala la matumizi ya jezi za Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ lipo Mamlaka za Juu. Ndimbo ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la Mwandishi wa AyoTV aliyetaka kujua kwamba Mashabiki wanapaswa kununua
59.1K views · 276 likes · 3 reposts · 8 replies Open on X →
Mchakato wa Jezi ya Timu ya Taifa unasimamiwa kwa taratibu za kimikataba kati ya Chama cha Soka na Kampuni inayotengeneza Jezi. Kama Waziri ana kampuni nyengine anadhani ni bora zaidi kuliko ya sasa asubiri mkataba uishe. Hizi ndio jezi za @TaifaStars_ zilizothibitishwa na 27.4K views · 74 likes · 9 reposts · 24 replies Open on X →
Mchakato wa Jezi ya Timu ya Taifa unasimamiwa kwa taratibu za kimikataba kati ya Chama cha Soka na Kampuni inayotengeneza Jezi. Kama Waziri ana kampuni nyengine anadhani ni bora zaidi kuliko ya sasa asubiri mkataba uishe. Hizi ndio jezi za @TaifaStars_ zilizothibitishwa na 43.2K views · 152 likes · 11 reposts · 18 replies Open on X →
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda kupitia ukurasa wake katika Mtandao wa Instagram ameandika "Hii sio jezi ya Taifa Stars, Taifa Stars kwa ubora wake hatuwezi kuwa na jezi za kiwango chini hivi. Acheni kutumia picha za Naibu wangu huku ofisi yangu haina
78.9K views · 203 likes · 9 reposts · 24 replies Open on X →
Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kuhusu ubora wa jezi mpya za Taifa Stars imeendelea kuzua mjadala, huku maswali mbalimbali yakiibuliwa kuhusu mchakato wa kuzipata jezi hizo na uratibu kati ya Wizara, TFF na mzabuni. Miongoni mwa walioibua ht
69.8K views · 37 likes · 3 reposts · 3 replies Open on X →
@zittokabwe Mmh njomba mbona kama unatikisa kiberiti ili uitwe Ikulu https://t.co/vK4Qyakdpn
4.4K views · 43 likes · 0 reposts · 2 replies Open on X →
@zittokabwe Umeongea vizuri lkn kuongea kwako hivi hakutusahaulishi kwamba wew ni dalali wa siasa kuma wewee 3.1K views · 82 likes · 0 reposts · 7 replies Open on X →
@zittokabwe Hiyo number 8 ni illusion of truth effect. Na wakuu wa vyombo vya Dola,mikoa na wilaya waliambiwa hakuna mkeka mpya,walifanya kazi nzuri. Unless mtu aharibu sana! Kama unajua unajua,shukrani kwa kazi nzuri. Unfortunately kwao, Damu za watu zitawarudia wote wasipo ang 3.7K views · 28 likes · 3 reposts · 1 replies Open on X →
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, 78.3K views · 1.5K likes · 292 reposts · 104 replies Open on X →

Im Vergleich zu Konten gleicher Größe

7 Beiträge aus den letzten 90 Tagen, verglichen mit der Größenklasse 1M–10M Follower. wird weit gezeigt, aber nur wenige dieser Zuschauer reagieren.

Medianaufrufe43 215dieses Konto14 648Median für 1M–10M
Reichweite, %2.59%dieses Konto0.74%Median für 1M–10M
Interaktion, %0.43%dieses Konto0.70%Median für 1M–10M
KennzahlDieses KontoMedian für 1M–10MVerhältnis
Medianaufrufe pro Beitrag43 21514 6482.95×
Reichweite (Aufrufe ÷ Follower)2.59%0.74%3.50×
Interaktionsrate0.43%0.70%0.61×

Weitere Konten dieser Größe →   Mit einem anderen Konto vergleichen →   Wie diese Vergleichswerte entstehen →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

78.3K28 Apr
3.7K
3.1K
4.4K
69.8K17 Sep
78.9K
43.2K
27.4K
59.1K18 Sep
15.3K
32K

Last 11 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

2.40%28 Apr
0.87%
2.86%
1.02%
0.06%17 Sep
0.31%
0.43%
0.39%
0.49%18 Sep
0.46%
0.73%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 1M–10M accounts is 0.70%.

What the audience does

Likes75.6%2 566 in total
Reposts10.2%347 in total
Replies7.9%268 in total
Quotes1.1%38 in total
Bookmarks5.1%173 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Ähnliche Konten