tweetindex
ES

Jambo TV ✓

@Jambotv_ · Tanzania · joined 04 May 2012

Independent News Source | WhatsApp+255767252999

960 549Followers
1Following
36 256Posts total
275.6KViews on collected posts

Últimas publicaciones

HABARI: Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtoza msanii Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ faini ya Sh milioni tano kwa tuhuma za kusambaza video ya wimbo wake wa Kudos, ambayo limeeleza kuwa inakiuka maadili ya Mtanzania. Kwa mujibu wa BASATA, Harmonize hakuwasilisha utetezi ht
6.1K views · 25 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
VIDEO: Katibu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ameitaka Serikali kuchukua hatua za haraka kutatua mgogoro kati ya wakulima na wafugaji katika maeneo ya jimbo hilo, akisema hali hiyo inaweza kuleta madhara makubwa ikiwa haitadhibitiwa. Ado ametoa
4:38
891 views · 1 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
VIDEO: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amevitaka viwanda vinavyozalisha bidhaa kwa utoshelevu nchini kuhakikisha vinapewa kipaumbele katika soko la ndani, huku akiwataka wafanyabiashara wazawa kuamini na kutumia bidhaa zinazozalishwa na wazawa wenzao. Kapinga ht
5:43
978 views · 7 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
VIDEO: Tanzania imesema tafiti za bahari ni muhimu katika kubaini fursa zilizopo kwenye Uchumi wa Bluu, kuimarisha uvuvi endelevu na kulinda ikolojia ya bahari. Kauli hiyo imetolewa leo, Septemba 23, 2026, jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais https:
4:26
1.6K views · 14 likes · 2 reposts · 1 replies Open on X →
VIDEO: Wanafamilia watano wa familia ya Mushi na Mongi, akiwemo bibi mwenye umri wa miaka 86, wameachiwa huru leo, Jumanne, Septemba 23, 2026 saa 5 asubuhi baada ya kushikiliwa rumande kwa siku mbili katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay kutokana na agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar
5:04
13.3K views · 113 likes · 19 reposts · 18 replies Open on X →
VIDEO: Mwanasheria wa familia za David Mushi na Mariam Mongi, Wakili Wilson Ogunde, amesema kuwa baadhi ya wanafamilia wa familia hizo wanashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay kufuatia mgogoro wa ardhi uliopo Madale Mtaa wa Scout, Wilaya ya https://
4:17
1.4K views · 4 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
VIDEO: Jeshi la Polisi nchini limewataka madereva wa vyombo vyote vya moto kuzingatia sheria za usalama barabarani na kutii sheria bila shuruti, likisisitiza kuwa ajali nyingi zinaratibiwa na makosa ya kibinadamu badala ya vyombo vyenyewe. Wito huo umetolewa leo, Septemba 22, h
3:05
2.4K views · 8 likes · 1 reposts · 3 replies Open on X →
VIDEO: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, SACP Amon Kakwale, ameeleza kuwa kuondokewa kwa ghafla na askari watano wa Jeshi la Polisi katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Sekenke ni pigo zito na kipindi kigumu mno kwa Jeshi la Polisi na Mkoa wa Singida kwa ujumla. Kauli
2:57
6.6K views · 24 likes · 3 reposts · 16 replies Open on X →
VIDEO: Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Ramadhan Omary, amesema mikoa mbalimbali nchini inatarajiwa kupata mvua za juu ya wastani katika msimu huu, huku baadhi ya maeneo yakitarajiwa kukumbwa na vipindi vya mvua kubwa. Amesema
1:02
10.5K views · 56 likes · 6 reposts · 6 replies Open on X →
Kampuni ya Tanzania International Tourism Festival (TITF) imeandaa tamasha kubwa la kitaifa la sanaa za ufundi litakalofanyika kuanzia tarehe 6 hadi 11 Oktoba, 2026, katika Viwanja vya General Tyre, Njiro, jijini Arusha. Tamasha hilo limelenga kuunganisha sekta za sanaa, ufundi,
2K views · 7 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026, akiwa na umri wa miaka 97. Taarifa rasmi ya kifo chake imetangazwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed
583 views · 6 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 12, wakiwemo askari polisi watano na mahabusu saba, waliopoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Septemba 21, 2026, katika eneo la Mlima https:
2K views · 16 likes · 1 reposts · 6 replies Open on X →
VIDEO: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewataka wanaodai kuwa Tanzania kuna utulivu lakini hakuna amani kuangalia mazingira na vyanzo vya taarifa vinavyowafanya kutoa kauli hiyo. Akizungumza leo na Jambo TV ofisini kwake jijini Mwanza katika maadhimisho ya Siku ya
3:33
1.4K views · 7 likes · 1 reposts · 2 replies Open on X →
VIDEO: Wananchi wa kata ya Mhandu Jijini Mwanza wameeleza kusikitishwa na changamoto ya upatikanaji wa maji sambamba na ubovu wa barabara hali wanayosema imekuwa ikiwapa ugumu katika shughuli zao za kila siku. Wakizungumza leo kwenye mkutano wa hadhara wa mbunge wa Jimbo hilo h
4:42
2.3K views · 12 likes · 3 reposts · 1 replies Open on X →
VIDEO: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amewapinga na kuwakosoa wanaochochea vurugu na fujo akidai kuwa vurugu na fujo nchini anaweza kuchangia vifo vya watu kwa kuwa hali hiyo inaweza kuwazuia madaktari na wauguzi kufika hospitalini kutoa huduma kwa wagonjwa. https:
4:44
5.4K views · 23 likes · 1 reposts · 16 replies Open on X →
VIDEO: Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa na Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu', ametoa wito kwa serikali kuwaachilia huru Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, pamoja na vijana wanavyuo wafuasi wa chama hicho na wafungwa wote wa kisiasa kama http
4:34
4.4K views · 113 likes · 16 reposts · 1 replies Open on X →
VIDEO: Mtaalamu wa masuala ya ulinzi na usalama aliyewahi kuwa mwanachama wa CHADEMA na baadaye Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Prosper Makonya, ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa amechukua hatua hiyo kwa sababu CCM ni chama cha https://t
10:25
9.3K views · 26 likes · 3 reposts · 7 replies Open on X →
VIDEO: Wananchi wa kitongoji cha Midabini katika Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, wameiomba Serikali kuchukua hatua dhidi ya vitendo vya ubakaji na ulawiti wanavyodai vimekithiri katika eneo hilo. Wananchi hao wamesema waathirika wanadaiwa kuwa wanawake, watoto na vijana wa http
4:46
1.8K views · 12 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
VIDEO: Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu), amemtaka Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, kuacha kumzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, katika mikutano yake ya hadhara. Kauli
1:11
3.2K views · 46 likes · 7 reposts · 0 replies Open on X →
VIDEO: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Laban Kihongosi, amesema ujenzi wa Daraja la Majumba Sita katika Jimbo la Segerea wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam, utakuwa mkombozi kwa wananchi wanaokabiliwa na changamoto ya mafuriko wakati wa mvua. http
4:38
1.4K views · 4 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
@Jambotv_ Mzeee mkubwa umeeleweka sana 10 views · 0 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@Jambotv_ Kuzeeka nako taabu. 25 views · 0 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
VIDEO: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza kutoza faini ya hadi Shilingi milioni moja kwa mtu yeyote atakayekiuka taratibu za usafi na kutupa taka hovyo katika maeneo ya jiji. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, katika zoezi la usafi h
4:24
6.1K views · 37 likes · 1 reposts · 4 replies Open on X →
VIDEO: Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa @ccmtanzania Kenani Kihongosi, amewataka wananchi wa Temeke kupuuza kile alichokiita 'makelele' ya watu aliodai 'wamefilisika kisera' na kihoja huku akidai kuwa kuna chama kimepoteza mwelekeo wa kisiasa. Kihongosi ametoa kauli
2:24
8.8K views · 32 likes · 2 reposts · 14 replies Open on X →
VIDEO: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kuhusu hoja zake za maendeleo ya nchi akisema kiongozi huyo anapotosha umma kuhusu maendeleo ya nchi. Akizungumza na wanachi
3:53
8.6K views · 30 likes · 0 reposts · 16 replies Open on X →
VIDEO: Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele, amesema mitandao ya kijamii imekuwa ikitumika kuwapotosha vijana huku akibainisha kuwa suala la uzalendo na Uzalendo wa Kidijitali kwenye silabasi za mafunzo ya JKT litaendelea kuboreshwa zaidi ili https://
2:11
7.4K views · 38 likes · 0 reposts · 3 replies Open on X →
VIDEO: Chama cha Walimu na Wafanyakazi wa Shule zisizo za Serikali Tanzania (TPTU) kimedai kubaguliwa na kushindwa kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali ikiwemo ya mafunzo. Akizungumza na Jambo TV, Katibu Mkuu wa chama hicho, Julius Mabula amedai kuwa mbali na
4:14
2.6K views · 6 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
VIDEO: Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wameeleza kuridhishwa na kupongeza mafanikio ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, wakieleza jinsi kampeni hiyo ilivyowarahisishia kupata ushauri na huduma za kisheria kwa urahisi katika kutatua changamoto zao https:/
2:31
1.1K views · 4 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
VIDEO: Serikali kwa kushirikiana na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imepiga hatua kubwa katika kutatua kero za wananchi kwenye sekta za elimu, afya, na miundombinu, ambapo wananchi wameanzisha ujenzi wa shule mbili za sekondari kupitia nguvu zao na https
3:52
1.5K views · 6 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
VIDEO: Vijana waliopatiwa mafunzo ya Kijeshi katika kambi ya Maramba wilayani Mkinga mkoani Tanga, wametakiwa kujiepusha na vitendo vya uhalifu na kutumia mafunzo hayo kwa manufaa ya jamii. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, Gilbert Kalima, wakati akihitimisha mafunzo
2:22
2K views · 5 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →

Frente a cuentas del mismo tamaño

68 publicaciones de los últimos 90 días, junto al rango de 100K–1M seguidores. por debajo de sus pares en alcance y en interacción.

Visualizaciones medianas2 260esta cuenta5 983mediana de 100K–1M
Alcance, %0.24%esta cuenta1.49%mediana de 100K–1M
Interacción, %0.58%esta cuenta0.93%mediana de 100K–1M
MétricaEsta cuentaMediana de 100K–1MProporción
Visualizaciones medianas por publicación2 2605 9830.38×
Alcance (visualizaciones ÷ seguidores)0.24%1.49%0.16×
Tasa de interacción0.58%0.93%0.62×

Otras cuentas de este rango →   Comparar con otra cuenta →   Cómo se construyen estas referencias →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

2.3K21 Sep
1.4K
2K
583
2K22 Sep
10.5K
6.6K
2.4K
1.4K
13.3K23 Sep
1.6K
978
891
6.1K

Last 14 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

0.75%21 Sep
0.72%
1.13%
1.03%
0.40%22 Sep
0.66%
0.65%
0.51%
0.29%
1.16%23 Sep
1.12%
0.82%
0.22%
0.44%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 100K–1M accounts is 0.93%.

What the audience does

Likes68.3%682 in total
Reposts6.8%68 in total
Replies11.8%118 in total
Quotes2.5%25 in total
Bookmarks10.6%106 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

Followers by day

23 Sep

Daily snapshots since 23 Sep 2026; the dashed line is the starting count.

Cuentas similares