tweetindex
ES

Lembrus Mchome

@LembrusMchome · joined 12 Jun 2020

Mwenyekiti Mstaafu Bavicha (M) kilimanjaro Mratibu msaidizi mkoa wa Arusha. Mtetezi na mpenda Haki

24 437Followers
919Following
4 982Posts total
31.3KViews on collected posts

Últimas publicaciones

@LembrusMchome @ChademaTZ2 Usiwe dhaifu kwa kiwango hicho, yaani na akili zetu timamu na Ada walizolipa wazazi wetu tukubaliane na UPUMBAVU wa CHANDE na wajinga wenzake? HAPANA! UTEKAJI, KIBURI CHA WATAWALA WALIOMURU WATU WAUAWE TUME HAIJAWAONA? @LembrusMchome 440 views · 3 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@LembrusMchome @ChademaTZ2 Yaani kama Mbowe asingeshindwa tungeendelewa kuchezewa na haya mapandikizi hivi hivi ndani ya cdm. Kweli Mungu anaipenda cdm. 403 views · 8 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
@LembrusMchome @ChademaTZ2 Bado unapumua tu wee kiumbe😝😝😝 aibu ni kitu adimu sana kwako msalimie jamaa yako. Nb picha haina uhusiano na hiyo ripoti https://t.co/FxpHozxCmC
362 views · 5 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
Wakati nilipotoa tahadhari juu ya kauli za viongozi wetu wa @ChademaTZ2 juu ya kauli zao kua zenye macho na masikio kwani zinaweza zikatumika kama fimbo mbeleni mlibeza na kutukana sana. Jaji Chande anasema kaulizetu wanasiasa ni kichocheo kikuuu cha yaliyotokea. Mdomo uliponza .
6.3K views · 13 likes · 3 reposts · 87 replies Open on X →
Pale unapojaribu kuvaa viatu vya @freemanmbowetz kwa dakika chache. Tujifunze. https://t.co/beDrsJRoN4
4.9K views · 22 likes · 7 reposts · 42 replies Open on X →
Mwl.Yohana Lulyeho ni Katibu wa @ChademaTZ2 mkoa wa Tabora, ni katibu wa Mbunge wa Nzega mjini @ccm_tanzania alikua meneja kampen wa Mwenyekiti @TunduALissu kipindi cha uchaguzi wa ndani ya chama kwa mkoa wa Tabora. Mwenyekiti akipata hizi habari gerezani ataumia sana. https://t.
4.8K views · 18 likes · 1 reposts · 12 replies Open on X →
Ni dhahiri kwamba report ya tume ya Jaji Chande itakua ya kitaalamu sana na iliyojaa weledi mkubwa katika kung'amua kilichotokea 29 oct. Itakuja na ushahidi usio nashaka, lakin pia itakuja na suluhisho zuri ni vip tutaenda mbele kama taifa na kurejea pamoja. Hongera tume https://
3.5K views · 24 likes · 10 reposts · 51 replies Open on X →
@LembrusMchome @Chademakaskazin @HecheJohn Wewe ni Chauma kwanini una uchungu n jirani 410 views · 8 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
@LembrusMchome @Chademakaskazin @HecheJohn Tupo imara kuloko jana na siku zote zilizopita,hao wameshindwa kuendana na beat watupishe CHADEMA ni imani na sio hao makataibu sijui heche na lisu ,wao wataondoka ila imani yetu ipo pale pale JUSTICE 239 views · 9 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@LembrusMchome @Chademakaskazin @HecheJohn Wewe ndio mwenye shida tena tatizo kubwa sana,kama ungelikua na Akili timamu siku nyingi ungeshajiondoa kujishughulisha na mambo ya chadema,ila kwakua ni mwanasiasa_MalayaMalaya basi Wala hatushangazwi na hizi shobo,tunajua unatetea tumb 307 views · 9 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Katibu wa @Chademakaskazin Ndonde Totinan amejiuzulu wadhifa wake na kujivua uanachama wa chadema. Jana katibu wa mkoa wa Tanga leo katibu wa kanda. Je bado tupo imara??. Tusijidanganye kunashida inaongozwa na @HecheJohn ipo siku mtakuja kunielewa ndugu watukanaji. https://t.co/9
9.7K views · 32 likes · 7 reposts · 111 replies Open on X →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

9.7K1 Apr
307
239
410
3.5K7 Apr
4.8K11 Apr
4.9K13 Apr
6.3K23 Apr
362
403
440

Last 11 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

1.65%1 Apr
2.93%
3.77%
2.20%
2.52%7 Apr
0.64%11 Apr
1.50%13 Apr
1.72%23 Apr
1.66%
2.48%
0.68%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views.

What the audience does

Likes29.5%151 in total
Reposts5.9%30 in total
Replies59.7%305 in total
Quotes3.9%20 in total
Bookmarks1.0%5 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Cuentas similares