tweetindex
FR

ALLY MSANGI

@ally_eh · My community 🡇 · joined 06 Sep 2009

Creator Economy Educator | Helping Solopreneurs Build Online Businesses. Sharing my thoughts & discussing my projects. Email: ally@allymsangi.com

17 830Followers
4 552Following
51 026Posts total
39.9KViews on collected posts

Derniers posts

Usichanganye knowledge na wisdom. Unaweza kuwa na degree, kusoma vitabu 100 na kujua facts nyingi kuliko watu wengi. Lakini kama hujui kutumia unachojua kutatua matatizo halisi, hiyo knowledge ina thamani ndogo. 1/2 1K views · 33 likes · 1 reposts · 2 replies Open on X →
Building a successful startup is a repetition of tiny failures. 565 views · 9 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Niliandika story ya jinsi nilivyofikisha zaidi ya $45,000 ndani ya mwaka wangu wa kwanza na YouTube Automation. Nime-share nilichoanza nacho, kilichofanya kazi, nilichojifunza na ningefanya tofauti leo. Isome hapa: https://t.co/5QvTWgfLhG 665 views · 14 likes · 2 reposts · 0 replies Open on X →
Learn the art of being alone. It’s a skill. - Eat a meal alone - Go for a walk alone - Go to the movies alone Can you be happy with yourself without distracting yourself with alcohol or social media? 560 views · 10 likes · 4 reposts · 0 replies Open on X →
Join my WhatsApp Channel https://t.co/ngo395xVgO https://t.co/PtXfivpiZ2
1.7K views · 7 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
@ally_eh @jnanauka @NyandaAmosi @ShukuruAmos Sina Cha Kuongezea hapo. Umeiweka Kitaalam Sana 🫡 46 views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@ally_eh @jnanauka @NyandaAmosi @francismtey @ShukuruAmos Master kabisa 80 views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@ally_eh @jnanauka @NyandaAmosi @francismtey @ShukuruAmos Naaaam! Kaka. 176 views · 2 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
Watu wengi wanafikiria watu kama @jnanauka @NyandaAmosi @francismtey @ShukuruAmos na wengineo wanauza vitabu na Courses tu. Mimi nina watazama kwa jicho tofauti kabisa... Hawa watu watengeneza content. Wanatengeneza trust. Wanafundisha. Halafu wanafungasha hayo maarifa yao 3.9K views · 20 likes · 5 reposts · 3 replies Open on X →
@ally_eh @NyandaAmosi Milioni 100? 799 views · 4 likes · 0 reposts · 4 replies Open on X →
PSS: Kama umevutiwa na Information Publishing Business na unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza bidhaa za kidigitali (kama eBook, Course au Masterclass) na kuziuza tena na tena, basi kitabu hiki kitakuonyesha hatua kwa hatua namna ya kuanza. 📘 Digital Product Business Guide 672 views · 3 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
Mimi pia ni mwandishi uchwara flani hivi... (Si ndio wakuu). Lakini naendelea kujifunza kutoka kwa waandishi mbalimbali duniani na hapa Tanzania. Amos Nyanda ni mmoja wa watu ambao naamini wamechangia sana kukuza uelewa wa watu wengi sana kuhusu Copywriting na Information https
772 views · 10 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
Nilichojifunza zaidi? Kutoka kwa Amos... Usijifunze kuandika. Jifunze kuelewa watu. Ukielewa watu... Copy itajiandika yenyewe. 750 views · 3 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
7. Copywriting sio kuhusu maneno. Ni kuhusu kuelewa saikolojia za watu. Ukifanikiwa Ukielewa... • watu wanaogopa nini • wanataka nini • wanaamini nini • na kwa nini wananunua... Kuandika copy nzuri na yenye ushawishi kunakuwa rahisi sana. 764 views · 5 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
6. Brand ni asset. Watu wengi wanauza bidhaa. Lakini Amos yeye amejenga jina lake. Na jina likijengwa vizuri... linakuwa brand. Linafanya bidhaa mpya ziwe rahisi kuaminiwa. Hiyo ndiyo nguvu ya personal brand. https://t.co/X3Hmsu4VwK
875 views · 4 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
5. Usiuze kila siku. Tengeneza trust kwanza. Ukitoa value kwa muda mrefu... Siku ukitoa offer, watu hawata ona kama wanauziwa. Wanahisi wanapewa hatua inayofuata. 924 views · 3 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
4. Andika kama unavyo zungumza. Hili ndilo somo ambalo naamini lime mtofautisha sana Amos. Hata ukisoma post zake... Hazisikiki kama MAKALA. Zinasikika kama mtu anakuelezea jambo akiwa mbele yako hivi (Kuna muda mimi huwa navuta picha kama namuona hivi). 1K views · 3 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
3. Information Publishing ni proven Business Model... (Ni biashara halisi hata kwa hapa Tanzania) Watu wengi bado wanaamini maarifa hayawezi kuuzwa. Lakini Amos ameonyesha unaweza kubadilisha ujuzi kuwa: • eBooks • Courses • Templates • Community • Consultancy Kisha 1.1K views · 6 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
2. Watu hawanunui bidhaa. Wananunua matokeo. Ukisoma copy zake, utaona hazianzi kuelezea features. Zinaanza kuelezea story flani na maumivu. Na mwisho zinaonyesha maisha ambayo mnunuzi anatamani kuyafikia. Huo ndiyo unyama wa copywriting. Na Amos anaujua kweli kweli. https://
1.4K views · 2 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
1. Copywriting sio kuandika lugha ngumu. Iwe kwa Kiswahili au kingereza... Copy nzuri inaonekana kama mazungumzo. Ukimfuatilia Amos utaona mara nyingi hutumia lugha ambayo mtu wa kawaida anaizungumza kila siku kwenye uandishi wake. Kwa sababu watu hawasomi dictionary. Wanasoma 1.5K views · 7 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
Huyu ni Amos Nyanda. @NyandaAmosi Ana followers 77.2K Followers hapa X. Ana ingiza zaidi ya Tsh 100,000,000 / Kwa Mwaka as a one-person business. Ni mmoja wa copywriter's bora kabisa wanao fuatiliwa zaidi Tanzania. Ameonyesha kwamba maneno yanaweza kuwa biashara. Ni https://
20.5K views · 98 likes · 19 reposts · 9 replies Open on X →

Face aux comptes de taille comparable

21 posts des 90 derniers jours, à côté de la tranche de 10K–100K abonnés. diffusé largement, mais peu de ces spectateurs réagissent.

Vues médianes799ce compte940médiane pour 10K–100K
Portée, %4.48%ce compte3.45%médiane pour 10K–100K
Engagement, %0.71%ce compte1.55%médiane pour 10K–100K
IndicateurCe compteMédiane pour 10K–100KRapport
Vues médianes par post7999400.85×
Portée (vues ÷ abonnés)4.48%3.45%1.30×
Taux d'engagement0.71%1.55%0.46×

Autres comptes de cette tranche →   Comparer avec un autre compte →   Comment ces repères sont établis →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

7641 Aug
750
772
672
799
3.9K21 Aug
176
80
4624 Aug
1.7K1 Sep
5604 Sep
665
5656 Sep
1K8 Sep

Last 14 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

0.79%1 Aug
0.53%
1.55%
0.60%
1.00%
0.71%21 Aug
1.70%
1.25%
2.17%24 Aug
0.46%1 Sep
2.50%4 Sep
2.41%
1.59%6 Sep
3.57%8 Sep

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 10K–100K accounts is 1.55%.

What the audience does

Likes64.6%245 in total
Reposts9.2%35 in total
Replies7.4%28 in total
Bookmarks18.7%71 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Comptes similaires