tweetindex
FR

Swahili Times ✓

@swahilitimes · Dar es Salaam · joined 08 Jul 2012

Habari | Elimu | Burudani | editor@swahilitimes.co.tz | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779

1 645 588Followers
0Following
99 278Posts total
367.4KViews on collected posts

Derniers posts

Mbunge ahoji mazingira rafiki kwa wenye ulemavu mgodini · SwahiliTimes https://t.co/LBf8UBSpC8 https://t.co/RshmIxueqA
1.5K views · 3 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
"Mimi nikipita nikakuta uchafu mbele ya duka lako, nitafunga duka lako, nitakuchukua utalala selo kwa saa 48." - Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza na wafanyabiashara Kariakoo https://t.co/ttiRyAKLRJ
1:35
17.5K views · 153 likes · 3 reposts · 26 replies Open on X →
Mahakama ya Shirikisho nchini Marekani imeamuru serikali kurejesha mara moja ruhusa ya waandishi wa habari wa CNN, MS NOW na Politico kuingia Ikulu ya White House baada ya vyombo hivyo kuzuiwa kuingia. Rais Donald Trump alitoa amri ya kuzuia vyombo hivyo juma lililopita akidai h
6.6K views · 101 likes · 6 reposts · 3 replies Open on X →
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema timu ya Taifa ni mali ya nchi na si mali ya mtu ama kampuni. https://t.co/NFKWofb08K
2:04
5.4K views · 45 likes · 2 reposts · 3 replies Open on X →
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema jezi za timu ya Taifa ni mbaya na hazina ubora. https://t.co/Gt5vm09nc6
1:49
25.8K views · 328 likes · 15 reposts · 38 replies Open on X →
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limempiga faini ya TZS milioni 5 msanii Rajab Abdulkahali (Harmonize) kwa kosa la kusambaza video ya wimbo wa 'Kudos' ambao umetajwa kutozingtia maadili ya Mtanzania. Aidha, BASATA imemtaka kutojihusisha na sanaa kwa namna yoyote hadi https://t
503 views · 2 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limempiga faini ya TZS milioni 3 msanii Faustina Mfinanga (Nandy) kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na staha wakati akitumbuiza kwenye fainali ya shindano la Miss Universe 2026. BASATA imesema msanii amekiri kutenda kosa, ameshusha video hiyo ht
574 views · 0 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
"Ukisoma pande nne za zile karatasi za mkataba [TFF na Sandaland] kisheria kila kitu kiko vizuri. [...] Lakini bado serikali haiwezi kukosa fursa ya kutoa maoni juu ya uboreshwaji wa jezi pasipo kuwa na ulazima wa kuingilia mkataba." - Dkt. Damas Ndumbaro akizungumza kwenye kituo
3.1K views · 53 likes · 2 reposts · 1 replies Open on X →
Frank Sempombe, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Mkongo Wilaya ya Rufiji, amefariki dunia kwa kujinyonga karibu na eneo la shule. Polisi wamesema mwili wa mwanafunzi huyo ulikutwa unaning'inia juu ya mti na hakuacha ujumbe wowote. Aidha, Polisi wametoa ht
3.1K views · 29 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri wa Afya wa Tunisia, Mustapha Farhan ambapo wamejadili kwa kina uwezo wa kuzalisha dawa ndani ya nchi, tiba ya mionzi na tiba kwa njia wa mtandao. Aidha, Dkt. Mwigulu ameikaribisha Tunisia kushirikiana na Tanzania katika https
3.6K views · 38 likes · 6 reposts · 0 replies Open on X →
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema limesikitishwa na matumizi ya nembo yake kwenye mkutano na waandishi wa habari leo ulioandaliwa na Sandaland Fashion Wear. TFF imeeleza kuwa haikuwa sehemu, wala kujua kabla maudhui ya mkutano huo. TFF imeionya Sandaland https
10.4K views · 129 likes · 0 reposts · 12 replies Open on X →
Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi amewasili New York nchini Marekani, ambapo anamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA81) Unaofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York. https://t.co/mkK7s85pK6
10.8K views · 143 likes · 3 reposts · 5 replies Open on X →
Watu 34 wanashikiliwa kusaidia uchunguzi wa tukio lililosababisha vifo vya watumishi sita wa uhifadhi katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Ipole, Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora. Watumishi hao waliuawa Septemba 18, 2026 baada ya kundi la wafugaji kudaiwa kuvamia htt
5.8K views · 76 likes · 3 reposts · 2 replies Open on X →
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limesema linamshikilia dereva wa TARURA, Wilaya ya Dodoma, Sath Masawa (31) kwa kosa la kumtishia kwa kitu kilichodhaniwa ni bastola dereva wa basi la SATCO, Said Fadhili (54) wakati akiwa anatoka kuweka mafuta, pamoja na kudaiwa kukwangua gari mali
3.7K views · 20 likes · 1 reposts · 5 replies Open on X →
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo Tanzania, Neema Msitha, amesema maandalizi ya michuano ya AFCON 2027 nchini Tanzania yamefikia takriban asilimia 80, huku maboresho ya miundombinu ya viwanja yakiendelea. Msitha amesema anaamini Tanzania itakuwa mfano kwa nchi nyingine https:
6K views · 83 likes · 5 reposts · 7 replies Open on X →
TANZIA Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 97. https://t.co/vdvFj2VLkq
657 views · 6 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Walinzi wanne wa Suma JKT wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za mauaji ya Joseph Mwenda (33), aliyeshambuliwa sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kutupwa kichakani. Polisi wamesema tukio hilo lilitokea Septemba 18, 2026 na kubainika Septemba 20, 2026, h
11.6K views · 89 likes · 3 reposts · 8 replies Open on X →
CNN, MS NOW na Politico vimeishitaki serikali ya Marekani baada ya Rais Donald Trump kuvipiga marufuku kuingia Ikulu, akidai vimekuwa vikiripoti habari zisizo za kweli kuhusu utawala wake. Vyombo hivyo vya habari vinaiomba mahakama kurejesha ruhusa ya waandishi wao kuingia http
2.5K views · 59 likes · 3 reposts · 2 replies Open on X →
Askari polisi watano na mahabusu saba wamefariki katika ajali iliyotokea eneo la Mlima Sekenke, Wilaya ya Iramba, Singida leo majira ya saa 1:30 asubuhi baada ya lori la mafuta lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Rwanda kugongana uso kwa uso na gari la Polisi. Polisi https:
5.6K views · 54 likes · 1 reposts · 9 replies Open on X →
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umekusanya TZS bilioni 150 kupitia tozo za matumizi ya Daraja la Nyerere (Kigamboni) katika kipindi cha miaka 10 tangu daraja hilo lilipoanza kutumika Mei 2016. Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba, amesema mradi huo uligharimu TZS htt
6.8K views · 90 likes · 2 reposts · 0 replies Open on X →
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeanza kutoa chanjo ya Ervebo kwa wahudumu wa afya ili kudhibiti virusi vya ebola. DRC imepokea takriban dozi 70,000 za chanjo ya Ervebo. Dozi 50,000 zinatarajiwa kutumika kuwachanja wahudumu wa afya, huku dozi 20,000 zilizobaki zikitengwa
3.9K views · 42 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amehitimisha ziara yake nchini Hispania kwa kukutana na wachezaji wa FC Barcelona kuwaalika kutembelea Tanzania. https://t.co/Delvd0iX8F
55.8K views · 373 likes · 11 reposts · 38 replies Open on X →
#Magazetiyaleo Sunday News Jumapili Septemba 20, 2026 https://t.co/aRajVZx1f8
1.6K views · 4 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
#Magazetiyaleo Mzalendo Jumapili Septemba 20, 2026 https://t.co/N8A9XYBpIO
1.9K views · 8 likes · 2 reposts · 1 replies Open on X →
#Magazetiyaleo Zanzibar Leo Jumapili Septemba 20, 2026 https://t.co/mIm5JGSOwB
2K views · 4 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi amewataka madereva kutokuwa na wasiwasi kuhusu alama zinazoonekana kuondolewa kwenye baadhi ya leseni zao, akieleza kuwa mfumo wa alama za leseni za udereva bado haujaanza kutekelezwa rasmi nchini, hivyo kinachoendelea sasa ni h
6:33
4.2K views · 24 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
UEFA na CONCACAF zimemtaka Rais wa FIFA, Gianni Infantino, kutoa takriban dola bilioni 2.1 [TZS trilioni 5.5] kutoka kwenye akiba ya FIFA, ili kila chama kati ya vyama 211 vya FIFA kipokee dola milioni 10 [TZS bilioni 26.4] katika kipindi cha 2027–2030. Madai hayo yameibuka http
8.6K views · 118 likes · 2 reposts · 3 replies Open on X →
Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, amefanya ziara ya kushtukiza katika eneo la Mto Ng’ombe, Tandale, Dar es Salaam, kukagua hali ya usafi wa mazingira na maandalizi ya kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza katika kipindi cha mvua. Akiwa eneo hilo, amewaagiza viongozi wa
8.1K views · 67 likes · 0 reposts · 2 replies Open on X →
Tanzania na Uganda zinatarajia kujenga kituo kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi mkoani Tanga, hatua inayolenga kuufanya mkoa huo kuwa kitovu cha nishati katika Afrika Mashariki. Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amesema mradi huo ni sehemu ya ushirikiano wa nchi hizo https
8.1K views · 122 likes · 1 reposts · 2 replies Open on X →
Kenya inatarajiwa kupata uwanja mpya wa ndani (Arena) wenye uwezo wa kuchukua watu 10,000, katika mradi wenye thamani ya dola milioni 294.5 [TZS bilioni 779.4], unaofadhiliwa na kampuni ya uwekezaji ya Pan-Afrika, Zaria Group, kwa kushirikiana na Helios Sports & Entertainment htt
8.6K views · 136 likes · 3 reposts · 6 replies Open on X →

Face aux comptes de taille comparable

51 posts des 90 derniers jours, à côté de la tranche de 1M–10M abonnés. touche moins de monde que ses pairs, mais les engage bien davantage.

Vues médianes4 247ce compte14 648médiane pour 1M–10M
Portée, %0.26%ce compte0.74%médiane pour 1M–10M
Engagement, %1.14%ce compte0.70%médiane pour 1M–10M
IndicateurCe compteMédiane pour 1M–10MRapport
Vues médianes par post4 24714 6480.29×
Portée (vues ÷ abonnés)0.26%0.74%0.35×
Taux d'engagement1.14%0.70%1.63×

Autres comptes de cette tranche →   Comparer avec un autre compte →   Comment ces repères sont établis →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

3.7K22 Sep
5.8K
10.8K
10.4K
3.6K23 Sep
3.1K
3.1K
574
503
25.8K24 Sep
5.4K
6.6K
17.5K
1.5K

Last 14 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

0.70%22 Sep
1.40%
1.41%
1.44%
1.23%23 Sep
1.01%
1.87%
0.00%
0.40%
1.51%24 Sep
0.92%
1.70%
1.08%
0.33%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 1M–10M accounts is 0.70%.

What the audience does

Likes85.3%2 399 in total
Reposts2.8%80 in total
Replies6.3%177 in total
Quotes2.2%63 in total
Bookmarks3.3%94 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Comptes similaires