tweetindex
ID

Hilda Newton ✓

@HildaNewton21 · El Cuervo de Sevilla, España · joined 04 Jul 2014

Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045

958 576Followers
1 506Following
315 745Posts total
1.7MViews on collected posts

Postingan terbaru

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 448 Mhe. Lissu anaendelea kufanya mawasiliano yake ya mwisho (Final submission) Hapa Nazungumzia ushahidi unaohusu nia ya kuchochea umma iliyoletwa na hawa walionishitaki. Nia ya kuchochea umma kuzuia Uchaguzi mkuu wa mwaka jana kwanza 1.3K views · 44 likes · 12 reposts · 0 replies Open on X →
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo September 24, 2026 Last time tuliishia part 446 so leo tunaendelea na -; Part 447 Majaji wameingia Mahakamani na Mhe. Tundu Lissu nae ameingia Mahakamani na kupokewa kwa makofi mengi hapa. Amepiga kinyaturu na ndugu zake waliopo hapa 2.4K views · 115 likes · 44 reposts · 7 replies Open on X →
Mahakama imeanza 4.1K views · 152 likes · 23 reposts · 3 replies Open on X →
Kwa mujibu wa kanuni hii ni kwamba kama wewe ni Mwanachama wa CHADEMA basi automatic wewe ni Mwanaharakati. Kama wewe ni Mwanachama wa CHADEMA na unachukia Harakati basi utakuwa na elements za mbonga mbonga.😂😂😂 https://t.co/sowkGHSDM2
22.9K views · 357 likes · 72 reposts · 15 replies Open on X →
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 446 Halafu baadae ndio wanasema kutishia Serikali. Hili lengo lao la kuzuia uchaguzi halipo lengo kama hilo kwenye sheria za nchi yetu. Clearly on this ground too nimeshitakiwa kwenye kitu ambacho hakipo Kisheria. Waheshimiwa Majaji tatizo la 33.5K views · 735 likes · 277 reposts · 24 replies Open on X →
Tayari Mahakama imeanza, soon nawaletea live updates ambapo leo Mhe. Lissu Leo atahitimisha safari yake ya utetezi kwa kufanya majumuisho ya mwisho (Final Submission). 590 views · 16 likes · 3 reposts · 2 replies Open on X →
Mhe. Lissu kaingia na vibe la hatari halafu raia wanaimba “Mwamba!… Mwamba!… Mwamba!….” 🙌 https://t.co/OpoExFwxQz
0:35
781 views · 40 likes · 12 reposts · 0 replies Open on X →
‼️HABARI MBAYA‼️ Julius Richard Moshi aliondoka nyumbani kwake Kibamba Dar es Salaam, siku ya September 8, 2026, majira ya saa saba mchana baada ya kumuaga mke wake kwamba anaelekea Posta, katika ofisi za Orbit Securities. Tangu wakati huo hadi leo ni mawasiliano yake https://t
2.3K views · 58 likes · 20 reposts · 3 replies Open on X →
#ToneTone la leo Shinyanga Mjini.🔥🔥🔥 https://t.co/vwkIfcTJw7
0:38
9.3K views · 435 likes · 69 reposts · 7 replies Open on X →
Makamu Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn akihutubia Mkutano wa hadhara Shinyanga mjini ambao umefanyika Leo. https://t.co/q2OAdjrXSB
1:49
21.5K views · 803 likes · 148 reposts · 14 replies Open on X →
‼️KIJANA ALIYEPOTEA AMEUWAWA‼️ Jina: Awezi Emedi Swalehe, mwenye umri wa miaka 23, alichukuliwa nyumbani kwake maeneo ya Sinza, Dar es Salaam September 11 majira ya saa 4 usiku. Kwa mujibu wa Mama mdogo wa kijana anasema, mwili wa kijana huyo umeonekana katika Hospitali ya htt
20.2K views · 364 likes · 88 reposts · 13 replies Open on X →
Leo kuna Dereva wa Bus kanusurika kutekwa bila wananchi kuingilia kati wangepotea nae. Nchi yetu imefika pabaya sana, tumerudi zile zama za “Unanijua mimi ni nan..?” Tunakoenda ipo siku tutakuja kusikia Wananchi wenye hasira kali wameipiga kiberiti Land Cruiser ya watekaji. ht
3:33
15.9K views · 531 likes · 117 reposts · 12 replies Open on X →
Huyu keshajua wanamtema so anatafuta huruma kwa Wananchi anadhan tumesahau kejeli zake.😂 https://t.co/Xfnf3tmmiF
1:13
79.6K views · 1.3K likes · 123 reposts · 34 replies Open on X →
Nakumbuka huu madahalo Mbowe na yeye alialikwa lakini akaingia mitini aliogopa kiminyo kutoka kwa Mhe. Lissu ila ulikuwa moja ya mdahalo bora sana. https://t.co/UgNseIpDDN
2:53
28.8K views · 865 likes · 148 reposts · 17 replies Open on X →
‼️MBUNGE HARAM WA CCM AKAMATWA KISA KUHOJI ALIPO NCHIMBI ‼️ Nimejulishwa kwamba Mbunge haram wa CCM, Mariam Ditopile, anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu siku ya Jumanne yani September 15, 2026 na jana usiku kasafirishwa kutoka Dodoma kaletwa Dar es salaam. Kosa lake alihoji
74.2K views · 962 likes · 162 reposts · 47 replies Open on X →
‼️HABARI MBAYA‼️ Huyu kwenye picha anaitwa Steve Deogratius Mganga, ana umri wa miaka 20 Siku ya tarehe 16/9/2026 majira ya saa tatu usiku akiwa na rafiki yake maeneo ya Sweetconer Mazense Dar es salaam, walivamiwa na watu wakiwa na gari aina ya Land Cruiser ghafla wakashuka h
55K views · 528 likes · 137 reposts · 26 replies Open on X →
Kitaalam mlisema hii ndo inatwaje???? https://t.co/7afWs9LhaF
35.2K views · 403 likes · 38 reposts · 39 replies Open on X →
Msimamo wa Kamati Kuu ya CHADEMA juu ya Tume ya Jaji Lilla. Uzi 👇 https://t.co/GYFxdP1Rng
6.6K views · 311 likes · 77 reposts · 4 replies Open on X →
“CHADEMA hatuoni shida kuitwa Chama cha Wanaharakati…”-; Mhe. @HecheJohn https://t.co/8B1d5YtRZs
2:48
10.6K views · 313 likes · 55 reposts · 4 replies Open on X →
Anaandika Wakili @Advocate_Kisabo Nimefatilia suala la kukamatwa kwa Joseph Cosmas Maduka katika kituo cha Polisi Oysterbay na Central Police Station Dar es Salaam. Naomba kuwataarifu kuwa Joseph anashikiliwa katika kituo cha Polisi Kati Dar es Salaam (Central Police Station)
21.3K views · 505 likes · 97 reposts · 6 replies Open on X →
“Kingai alikuja na hasira, amesema hajawai kuwa rafiki yangu yeye ni adui yangu….”-; Mhe. Lissu. https://t.co/auKtLd7jEI
2:45
35.2K views · 991 likes · 166 reposts · 27 replies Open on X →
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 433 Jaji Ndunguru anawasha kipaza sauti anasema tumesikia hoja za mshtakiwa na Mahakama inatamka kwamba shauri kwa upande wa utetezi limefikia mwisho. Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji kwa vile sasa kesi ya pande zote mbili imefungwa tunaomba 52.8K views · 919 likes · 292 reposts · 14 replies Open on X →
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo September 18, 2026 Last time tuliishia part 431 so leo tunaendelea na -; Part 432. Mhe. Tundu Lissu ameingia Mahakamani watu wana vibe sana wanaimba Mwamba Mwamba huku wakipiga makofi mengi sana. Majaji wote watatu wameingia na kuketi kwenye 50.2K views · 1.2K likes · 409 reposts · 51 replies Open on X →
Mpaka sasa Mahakama bado haijaanza lakini Mawakili wa Mhe. Lissu walishafika tangu saa tatu asubuhi. Ramadhan Kingai na yeye yupo ila analindwa na Mapolisi wa kutosha sijui anahofia kuhusu Ukatili ambao walitufanyia Oktoba 29, 2025 so anahisi raia wanaweza lipa kisasi maana sio 18.1K views · 557 likes · 107 reposts · 3 replies Open on X →
Huyu kwenye picha anaitwa Joseph Cosmas Maduka, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ngazi ya Masters, hajulikani alipo tangu Jumapili September 13, 2026. Kwa taarifa ambayo Familia yake yanayo ni kwamba, mara ya mwisho alionekana maeneo ya Posta, Dar es Salaam tangu h
23.3K views · 493 likes · 139 reposts · 5 replies Open on X →
Ukiangalia huu ujinga ambao JKT wanafundisha vijana huko kwenye kambini zao, utakubaliana na mimi kwamba Nduli Idd Amin Mama tumemshika pabaya ndo maana anahangaika hivi, Tuendelee kukaza. Halafu hawa Vijana wakimaliza mafuzo ya JKT wakikosa mikopo wanakuja kuomba tuwapazie htt
0:45
28.8K views · 393 likes · 81 reposts · 55 replies Open on X →
"Ni muhimu awepo wasuluhishi wa kuchaguliwa na jumuiya yoyote ya kimataifa ambao watashungulika na; Mosi, kuchunguza na kuchukua hatua juu ya masuala ya mauaji ya kabla na baada ya Oktoba 29, 2025. Pili, Wajihusishe na mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya."-; Mhe @jjmnyika h
2:49
8.4K views · 185 likes · 39 reposts · 1 replies Open on X →
Rest In Peace King Kinya.🙏💔 5.2K views · 87 likes · 9 reposts · 1 replies Open on X →
Huyu kijana amepotea tangu jana, maelezo zaidi soma kwenye bango. Tafadhali tusaidieni kushare huenda kuna mtu anaweza kuwa kamuona mahali. https://t.co/qlkVPGQwZB
10.5K views · 163 likes · 58 reposts · 0 replies Open on X →
Polisi wakipiga RAIA SIMIYU hili tukio limetokea jion hii maeneo ya Lamadi-Busega- Simiyu, sasa hao polisi wanaopiga RAIA hivi hadharani watashindwa KUUA sirini? MTU mmoja hana hata silaha unampigaje hivyo mbele za watu.??? https://t.co/uSqhGTMRRX
0:56
34.6K views · 492 likes · 119 reposts · 36 replies Open on X →

Dibandingkan akun berukuran sama

68 postingan dari 90 hari terakhir, dibandingkan dengan rentang 100K–1M pengikut. menjangkau lebih sedikit orang, tetapi melibatkan mereka jauh lebih kuat.

Median tayangan10 205akun ini5 983median untuk 100K–1M
Jangkauan, %1.06%akun ini1.49%median untuk 100K–1M
Interaksi, %2.71%akun ini0.93%median untuk 100K–1M
MetrikAkun iniMedian untuk 100K–1MRasio
Median tayangan per postingan10 2055 9831.71×
Jangkauan (tayangan ÷ pengikut)1.06%1.49%0.71×
Tingkat interaksi2.71%0.93%2.91×

Akun lain pada rentang ini →   Bandingkan dengan akun lain →   Bagaimana tolok ukur ini disusun →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

28.8K20 Sep
79.6K
15.9K21 Sep
20.2K
21.5K22 Sep
9.3K
2.3K23 Sep
781
590
33.5K
22.9K
4.1K24 Sep
2.4K
1.3K

Last 14 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

3.59%20 Sep
1.82%
4.17%21 Sep
2.32%
4.50%22 Sep
5.50%
3.55%23 Sep
6.66%
3.56%
3.11%
1.94%
4.37%24 Sep
6.95%
4.38%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 100K–1M accounts is 0.93%.

What the audience does

Likes76.0%14 293 in total
Reposts16.7%3 141 in total
Replies2.5%470 in total
Quotes0.4%71 in total
Bookmarks4.4%826 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Akun serupa