tweetindex
ID

Jamii Forums ✓

@JamiiForums · United States · joined 22 Jun 2009

Inform | Engage | Empower | Digital Democracy

1 841 540Followers
216Following
75 593Posts total
55.8KViews on collected posts

Postingan terbaru

DAR: Hayo ameyasema Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, leo Septemba 24, 2026 wakati alipokuwa anazungumza na Waandishi wa Habari. Zaidi https://t.co/8Jzp7ToI7G #JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #JFSports https://t.co/LqaunOQG7W
2:17
766 views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ametoa wito huo leo Septemba 24, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam. Zaidi https://t.co/4xWcWs2O07 #JamiiForums #JFSports https://t.co/wl9y43xQmZ
1:56
3.9K views · 19 likes · 0 reposts · 3 replies Open on X →
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda ameeleza hayo leo Septemba 24, 2026 kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Zaidi https://t.co/va8QqswuaF #JamiiForums #JFBurudani https://t.co/IOGK1eonpA
1:09
4.2K views · 29 likes · 0 reposts · 6 replies Open on X →
Moja ya mjadala unaoendelea kwenye Jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ndani ya https://t.co/jOyQppw5FO Zaidi https://t.co/5WfGD2dzAK #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFKilimo https://t.co/1e8TEk98zi
1.2K views · 2 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
Mdau, umeshawahi kukutana na changamoto kama hii kwenye kada uliyopo? Zaidi https://t.co/1F9lT4Jscq #JamiiForums #Uwajibikaji https://t.co/JuCAWJmhoa
2.2K views · 6 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
Mdau wa https://t.co/jOyQppw5FO ameandika “Tupo wahitimu wengi tulioandika maombi ya kurejeshewa fedha hizo, bila mafanikio. Tunaomba chuo na mamlaka husika zilifuatilie suala hili na zitupatie majibu ya wazi kuhusu fedha zetu.” Zaidi https://t.co/fahPdvhfsY #JamiiForums https:
920 views · 1 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
Mdau, una maoni gani? Zaidi https://t.co/wqmEE3wPG1 #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 https://t.co/BHpsDBiUXE
940 views · 2 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
DAR: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameanza kuwasilisha maelezo yake ya mwisho (Final Submission) katika kesi ya uhaini inayomkabili, amesema kwa mujibu wa Sheria za Tanzania na ushahidi uliotolewa Mahakamani, haiwezekani kuhukumiwa adhabu ya kifo kwa makosa ya Kisiasa.
7K views · 179 likes · 14 reposts · 2 replies Open on X →
Ikumbukwe, kwa nyakati tofauti Wadau wa https://t.co/jOyQppwDvm walidai kuna changamoto ya ucheleweshwaji wa kutolewa Pasipoti na wengine wamekuwa wakisema kuna "nenda rudi" nyingi wakati wa mchakato wa kufuatilia. Zaidi https://t.co/tB4Zk8YkgT #JamiiForums #Uwajibikaji https:/
1.1K views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
DAR: Septemba 7 na 9, 2026, TMDA ilitangaza kukamata shehena ya dawa za magonjwa ya Saratani, Kifafa, Shinikizo la Damu, Kisukari pamoja na vifaa tiba vikiwa havijasajiliwa, tukio lilitokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Terminal 3, vyote vikiwa na zaidi h
3.4K views · 11 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
Wakili anayeiwakilisha Kampuni ya Sandaland, Cletus Nziku ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, leo  Septemba 22, 2026 Jijini Dar es Salaam. Zaidi https://t.co/YzjwvZkjR9 #JamiiForums #JFSports https://t.co/hbFhaNtZPo
2:21
669 views · 4 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
Mdau, nani huwezi kumuomba msaada hata upitie jambo gani? Zaidi https://t.co/4fhQck5AqP #JamiiForums #Maisha https://t.co/i4A2DA63TH
1.1K views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Mdau wa https://t.co/jOyQppw5FO ameandika “Nashauri TAKUKURU Kinondoni ichunguze suala hili ili kubaini ukweli kuhusu umiliki wa fremu za KMC Complex, sababu za kutotumika kwa muda mrefu na iwapo taratibu zilizotumika katika utoaji wa fursa hizo zilifuata mchakato stahiki. Zaidi
1.6K views · 4 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
Una mada au uchambuzi kuhusu filamu, nyimbo au sanaa? Tembelea sasa Jukwaa La Burudani ndani ya https://t.co/jOyQppwDvm📌 Zaidi https://t.co/YTGmZdYogk #JamiiForums #JFBurudani https://t.co/tuVHd72wq4
1.3K views · 2 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
Umewahi kukosa Mtandao wa Intaneti? Tuambie kwenye komenti ilikuwaje😂 Zaidi https://t.co/EROLX9SM5Z #JamiiForums #Maisha https://t.co/0OViQaXV7J
2.2K views · 3 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
Mbunge wa Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga amekataa kupokea madawati 48 yaliyotengenezwa kwa ajili ya shule tatu Jimboni humo baada ya kutoridhishwa na ubora wake katika ukaguzi uliofanyika Septemba 18, 2026. Madawati hayo yenye thamani ya Tsh. Milioni 3, yalipangwa kugawanywa kwa h
2:46
6.1K views · 30 likes · 4 reposts · 5 replies Open on X →
UPDATES: Kitengo cha Mawasiliano na Masoko NACTVET, Septemba 20, 2026 kilitoa taarifa kuwa "Baraza linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza kutokana na changamoto ya kimtandao, kwa sasa imetatuliwa." Ikumbukwe, kwa nyakati tofauti Wadau mbalimbali wa https://t.co/P0m8L0d
1.1K views · 4 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Utatuzi wa kero za maji mtaani kwako unaridhisha?  Zaidi https://t.co/vpVpfWGJNU #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 https://t.co/3eVnAvjFC8
593 views · 0 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
ENGLAND: Manchester United imeendelea kudondosha pointi baada ya kupata sare ya goli 1-1 dhidi ya Fulham katika Premier League, ikiwa ni mchezo wa tatu mfululizo kutopata ushindi katika michuano tofauti msimu huu wa 2026/27. Kabla ya mchezo wa leo Septemba 20, 2026, Man United h
0:11
9.9K views · 110 likes · 2 reposts · 1 replies Open on X →
Mdau, unamwamini vipi unayemtuma kukuletea chakula au kinywaji? Shiriki mjadala https://t.co/ocT1qPkyHf #JamiiForums #JFMaisha https://t.co/dbA1oQ1wGx
2K views · 5 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@JamiiForums Damu za watu aliowaua huyu jamaa naona zinamsumbua sana! Kwa hiyo hizo picha za naibu wake ni AI? 1.4K views · 3 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@JamiiForums Alitaka aonekane yeye halafu nchi hii hakuna mtu anamiliki naibu 2K views · 7 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →

Dibandingkan akun berukuran sama

22 postingan dari 90 hari terakhir, dibandingkan dengan rentang 1M–10M pengikut. di bawah akun sekelasnya baik pada jangkauan maupun interaksi.

Median tayangan1 513akun ini14 648median untuk 1M–10M
Jangkauan, %0.08%akun ini0.74%median untuk 1M–10M
Interaksi, %0.32%akun ini0.70%median untuk 1M–10M
MetrikAkun iniMedian untuk 1M–10MRasio
Median tayangan per postingan1 51314 6480.10×
Jangkauan (tayangan ÷ pengikut)0.08%0.74%0.11×
Tingkat interaksi0.32%0.70%0.45×

Akun lain pada rentang ini →   Bandingkan dengan akun lain →   Bagaimana tolok ukur ini disusun →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

1.3K22 Sep
1.6K
1.1K
669
3.4K23 Sep
1.1K
7K
940
920
2.2K24 Sep
1.2K
4.2K
3.9K
766

Last 14 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

0.24%22 Sep
0.31%
0.09%
0.75%
0.35%23 Sep
0.09%
2.77%
0.32%
0.22%
0.37%24 Sep
0.25%
0.83%
0.60%
0.13%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 1M–10M accounts is 0.70%.

What the audience does

Likes86.4%424 in total
Reposts5.1%25 in total
Replies4.5%22 in total
Quotes0.4%2 in total
Bookmarks3.7%18 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Akun serupa