tweetindex
ID

Wizara ya Katiba na Sheria

@Sheria_Katiba · Dodoma-Tanzania · joined 13 May 2016

Government org.providing effective Constitutional & Legal services via policy & legal frameworks in the guidance & delivery of Constitutional & Legal Services

86 383Followers
73Following
1 877Posts total
2.3KViews on collected posts

Postingan terbaru

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Homera, amewasili mkoani Ruvuma kwa ziara ya siku moja ya kufanya Ufuatiliaji wa Haki Jinai kwa Mahabusu na Wafungwa katika Magereza ya Mkoa huo, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara. https://t.co/73kd3pMEhv
278 views · 3 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, ikiongozwa na Wakili wa Serikali Haruna Matata, imewasili Mkoani Ruvuma na kupokelewa na Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Joseph Martin Kabalo, katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma tarehe 16 Septemba, 2026
436 views · 6 likes · 3 reposts · 1 replies Open on X →
Wadau kutoka taasisi mbalimbali za haki jinai nchini wamekutana kwa lengo la kupitia na kuiboresha Rasimu ya Mwongozo wa Ufuatiliaji wa Majukumu ya taasisi hizo ili kuweza kuimarisha uwajibikaji na kuboresha upatikanaji wa haki kwa wananchi. https://t.co/SH4qjhqjOA
391 views · 5 likes · 4 reposts · 0 replies Open on X →
Serikali ya Tanzania imesema ipo tayari kuimarisha ushirikiano na Serikali ya Japan katika sekta ya sheria, hususan katika kujenga uwezo wa wataalamu wa sheria, kubadilishana uzoefu na kuimarisha upatikanaji wa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi. https://t.co/4LlVUo6sFr
590 views · 8 likes · 3 reposts · 1 replies Open on X →
Balozi Luvanda amesema kuwa utendaji wa watumishi hao unapaswa kuakisi misingi ya Dira ya Taifa 2050 inayolenga kuimarisha utawala bora na ulinzi wa haki na kuwa kuwa wizara haitamvumilia mtumishi yeyote atakayejihusisha na vitendo vya rushwa au ukiukwaji wa maadili. 34 views · 0 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Rai hiyo imetolewa Septemba 14, 2026, jijini Dodoma na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Baraka Haran Luvanda ambaye alimuwakilisha Katibu Mkuu wa wizara wakati akifungua rasmi mafunzo elekezi ya awali kwa watumishi hao. https://t.co/0BsvQ7PJhf
41 views · 0 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
WATUMISHI WAPYA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA Watumishi wapya wa Wizara ya Katiba na Sheria wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi, bidii, na utii wa sheria, taratibu, na kanuni za Utumishi wa Umma. https://t.co/o1vdEloCF3
556 views · 0 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →

Dibandingkan akun berukuran sama

7 postingan dari 90 hari terakhir, dibandingkan dengan rentang 10K–100K pengikut. menjangkau lebih sedikit orang, tetapi melibatkan mereka jauh lebih kuat.

Median tayangan391akun ini1 027median untuk 10K–100K
Jangkauan, %0.45%akun ini4.04%median untuk 10K–100K
Interaksi, %2.03%akun ini1.55%median untuk 10K–100K
MetrikAkun iniMedian untuk 10K–100KRasio
Median tayangan per postingan3911 0270.38×
Jangkauan (tayangan ÷ pengikut)0.45%4.04%0.11×
Tingkat interaksi2.03%1.55%1.31×

Akun lain pada rentang ini →   Bandingkan dengan akun lain →   Bagaimana tolok ukur ini disusun →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

55615 Sep
41
34
59016 Sep
391
436
27817 Sep

Last 7 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

0.18%15 Sep
2.44%
0.00%
2.03%16 Sep
2.30%
2.29%
1.80%17 Sep

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 10K–100K accounts is 1.55%.

What the audience does

Likes53.7%22 in total
Reposts26.8%11 in total
Replies12.2%5 in total
Bookmarks7.3%3 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Akun serupa