tweetindex
IT

EastAfricaTV ✓

@eastafricatv · Dar es salaam, Tanzania · joined 22 Jul 2010

Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: habari@eatv.tv

2 064 379Followers
7Following
197 589Posts total
340.9KViews on collected posts

Ultimi post

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda akielezea mpango wa kumleta rapa wa Marekani @RickRoss nchini Tanzania. Video ya Waziri Makonda akizungumza na waandishi wa habari ipo Youtube ya @earadiofm #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha 🎥✍ @shneida_infos https:
2:11
255 views · 1 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
WAZIRI MAKONDA AMUACHIA MWANA FA KUHUSU KAULI ZA DUDUBAYA KULINDA MIGONGO https://t.co/AY69ixLLbB https://t.co/1cfLNAHT8B
824 views · 8 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
WAZIRI MAKONDA AWAGUSA WASANII, MJIANDAE SIWEZI KUWAHUKUMU KWA MAKOSA MAWILI MATATU MIRAHABA YENU https://t.co/3W47Hn257z https://t.co/9pAM2qlxmT
1.8K views · 9 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
#VIDEO WAZIRI MAKONDA : WASANII MJIANDAE, SIWEZI KUWAHUKUMU KWA MAKOSA MAWILI MATATU https://t.co/v0qw5mfsxS https://t.co/nVIJMLGaKU
3.2K views · 22 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) imetoa taarifa kuhusu msanii @harmonize_tz kutojihusisha na kazi za sanaa mpaka atakapotekeleza maamuzi baada ya kutenda kosa la kamaadili la kusambaza video ya wimbo wake wa Kudos. Maamuzi yaliyotolewa ni kushusha video hiyo kwenye mitandao ya htt
6.4K views · 69 likes · 2 reposts · 4 replies Open on X →
Muimbaji wa Kenya @otilebrown ametoa kauli nzito kwenda kwa msanii mwenzake Jovial kwamba asihudhurie mazishi yake ikitokea amefariki. Otile Brown anasema ameumizwa na kauli alizozitoa Jovial katika mgogoro wao baada ya kufanya kazi pamoja kwa muda mrefu. "Kuhusu Jovial nasema
1.9K views · 16 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Muimbaji @chrisbrown anasema amechoka kuwa mtu mwema na ataanza kuwa muovu kutokana na anayofanyiwa kimuziki. "Siwapendi hata mmoja wenu nyie watu maarufu. Mimi ni bora zaidi yenu bila ubishi mimi ni mfalme" "Hakuna msanii hata mmoja duniani anayeweza kunifikia mnajua hilo. ht
2.5K views · 38 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
Super Star #ChrisBrown amefunguka kuchukia tasnia ya muziki na watu maarufu wenye upendo feki na kutothamini kipaji chake. Kupitia insta story yake #ChrisBrown ameeleza mengi juu ya kazi yake hiyo ya muziki na tasnia kwa ujumla. 👇 "Mimi si rafiki yenu, si swahiba wenu, https://
1.4K views · 16 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
#HABARI Tanzania imetangaza rasmi azma yake ya kugombea kiti kisicho cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha 2029–2030, huku uchaguzi ukitarajiwa kufanyika Juni 2028. ​Akihutubia Mjadala Mkuu wa UNGA 81 jijini New York Septemba 22, 2026, Makamu wa
2:03
1.7K views · 12 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
#HABARI Jinsi Mawakili wa Serikali wakiongozwa na Wakili mkuu Nasorro Katuga na Mshitakiwa Tundu Lissu, walivyoingia kwenye chumba Cha Mahakama ( Court 1) kwenye Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi huyo wa Chama Cha http
1:17
4.9K views · 65 likes · 5 reposts · 1 replies Open on X →
Maziko ya Mama Fatma Karume, aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, yanatarajiwa kufanyika leo, Septemba 22, 2026, katika eneo la Mbweni, Zanzibar. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema kwa mujibu wa utaratibu
1:58
1.3K views · 10 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kilichotokeo Septemba 21, 2026. Rais h
721 views · 7 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
#HABARI Kijana mwenye umri wa miaka 28, Mussa Karani Sika, amekutwa amefariki dunia katika eneo la mlimani lenye vichaka, Kitongoji cha Sigino Chini, Kijiji cha Sigino, wilayani Babati, mkoani Manyara, baada ya kutafutwa kwa zaidi ya siku tano. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa h
19.5K views · 124 likes · 6 reposts · 1 replies Open on X →
Chica Fourteen akituambia anavyoshangazwa na baadhi ya watu wanaomjaji kuhusu vidole vya 6 mkononi. #DADAZ https://t.co/6lyxgjggXJ
1:12
24.6K views · 125 likes · 6 reposts · 3 replies Open on X →
🗣Nathaniel Samson anatuambia mwanamke anavyobadilika na kuwa na tabia za kiume ikitokea amepata mamlaka, nafasi ya maamuzi au mafanikio. #DADAZ https://t.co/0ZZky05j8w
1:46
14.4K views · 151 likes · 9 reposts · 4 replies Open on X →
#HABARI Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu ununuzi wa basi dogo aina ya Toyota Coaster, ikisema taarifa hizo zimepotosha umma kuhusu sababu na umuhimu wa ununuzi wa gari hilo. Ofisi hiyo imeeleza kuwa gari hilo lenye usajili STN htt
15.5K views · 74 likes · 0 reposts · 14 replies Open on X →
#HABARI Mkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Olivanus Thomas, amewataka wakazi wa wilaya hiyo kupunguza ufugaji wa mifugo isiyokuwa na tija na badala yake kuwekeza katika mifugo inayoweza kuwanufaisha kiuchumi, ikiwemo mbuzi. Amesema ufugaji wa mbuzi unaweza kuwa chanzo cha h
1:40
8.1K views · 76 likes · 4 reposts · 2 replies Open on X →
#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo, tarehe 20 Septemba, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Dkt. Speciosa Wandira Kazibwe. ​Katika mazungumzo yao yaliyofanyika htt
5.1K views · 70 likes · 2 reposts · 2 replies Open on X →
#HABARI Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo (One Health), utakaofanyika ht
13.9K views · 165 likes · 3 reposts · 2 replies Open on X →
#HABARI Familia ya aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Sekondari Karansi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, imelazimika kulala nje kwa siku sita baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kufungwa na mali zao kutolewa nje, kufuatia uamuzi wa kumtaka mwalimu huyo kuondoka katika nyumba hiyo.
27.8K views · 224 likes · 8 reposts · 21 replies Open on X →
#HABARI Marekani na Denmark zimefikia makubaliano kuhusu usalama wa Greenland, hatua inayotarajiwa kumaliza mvutano wa kidiplomasia uliodumu kwa miezi kadhaa kufuatia matamshi ya Rais Donald Trump kuhusu kulitaka eneo hilo kwa misingi ya usalama wa taifa. Trump alisema https://t
10.7K views · 89 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
#HABARI Watalaam wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa, wanasema kuna ushahidi wa kuaminika kuwa Marekani ilitekeleza uhalifu wa kivita, kufuatia mashambulizi mawili nchini Iran yaliyosabisha vifo vya watu 177. Katika ripoti mpya ya watalaam hao kuhusu vita nchini Iran htt
9.7K views · 65 likes · 1 reposts · 2 replies Open on X →
Kupitia Mahakama Kuu ya Burudani #FridayNightLive @NikkiZohan amekana kuwahi kumtaka kimapenzi Lulu Diva Tz. #FridayNightLive #FNL https://t.co/BoHDmA6aK8
0:54
7.3K views · 39 likes · 2 reposts · 0 replies Open on X →
@NikkiZohan anadai Lifestyle ya 'A List' wanafanya wanaume wengine wakose wanawake wa kuwa nao kwenye mahusiano. #FridayNightLive #FNL https://t.co/sDVnFwlRN9
1:20
9.2K views · 45 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
🗣@NikkiZohan anasema wasanii wakubwa wa muziki wanataja gharama kubwa za video walizo-shoot ili kutisha wasanii wachanga wenye ndoto za kufanya muziki. #FridayNightLive #FNL https://t.co/9mP1czjtqi
1:36
10.8K views · 93 likes · 2 reposts · 2 replies Open on X →
UNJU @NikkiZohan anatuambia ukaribu wake ulivyokuwa na @diamondplatnumz na kilichokwamisha kutofanyika kwa collabo kati yao. #FridayNightLive #FNL https://t.co/LIFUvvfsLq
1:54
9K views · 55 likes · 3 reposts · 0 replies Open on X →
#HABARI Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) na Wizara ya Elimu Tanzania wametia mabadiliko rasmi ya elimu ya msingi ambapo wanafunzi waliopo Darasa la Tano mwaka huu (2026) wanatarajiwa kumaliza elimu ya msingi mwaka ujao wa 2027 wakiwa Darasa la Sita. Kwa mujibu wa taarifa h
22.8K views · 310 likes · 10 reposts · 16 replies Open on X →
Kutoka Nigeria mwanamuziki Davido amefanya kufuru ya kuagiza magari mawili ya kifahari aina ya Ferrari. @februaryomar anatuambia zaidi kuhusu hilo kwenye #eNewz ya #EastAfricaTV. https://t.co/UbLDMZMC1R
0:53
3K views · 15 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Majina ya wasanii wa muziki Burna Boy, Tyla na Kendrick Lamar wametajwa kuhusika kwenye filamu ya 3 ya Black Panther. #eNewz https://t.co/FfTSUcFASg
0:55
3.6K views · 19 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
#HABARI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Shafii Rashid, mwenye umri wa miaka 23, mganga wa kienyeji na mkazi wa Kijiji cha Nanguruwe, Wilaya ya Mtwara, kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 30 ambaye ni mteja wake. Tukio hilo linadaiwa kutokea Septemba
6.7K views · 63 likes · 5 reposts · 2 replies Open on X →

Rispetto ad account della stessa dimensione

43 post degli ultimi 90 giorni, accanto alla fascia di 1M–10M follower. raggiunge meno persone dei pari, ma le coinvolge molto di più.

Visualizzazioni mediane6 728questo account14 648mediana per 1M–10M
Copertura, %0.33%questo account0.74%mediana per 1M–10M
Interazione, %0.92%questo account0.70%mediana per 1M–10M
MetricaQuesto accountMediana per 1M–10MRapporto
Visualizzazioni mediane per post6 72814 6480.46×
Copertura (visualizzazioni ÷ follower)0.33%0.74%0.44×
Tasso di interazione0.92%0.70%1.32×

Altri account di questa fascia →   Confronta con un altro account →   Come sono costruiti questi parametri →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

24.6K21 Sep
19.5K
72122 Sep
1.3K
4.9K23 Sep
1.7K
1.4K
2.5K
1.9K
6.4K24 Sep
3.2K
1.8K
824
255

Last 14 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

0.54%21 Sep
0.68%
1.11%22 Sep
0.84%
1.46%23 Sep
0.84%
1.15%
1.61%
0.88%
1.18%24 Sep
0.71%
0.49%
1.21%
0.78%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 1M–10M accounts is 0.70%.

What the audience does

Likes87.4%2 075 in total
Reposts3.2%76 in total
Replies3.4%81 in total
Quotes0.5%12 in total
Bookmarks5.5%131 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Account simili