tweetindex
IT

millardayo

@millardayo · joined 14 Apr 2010

Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings millard@millardayo.com

3 141 281Followers
478Following
155 939Posts total
227.1KViews on collected posts

Ultimi post

@millardayo Angalau Lissu ameonesha uungwana! 97 views · 0 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@millardayo Oya mmesema nishukie wapi https://t.co/wNxOHwnjte
203 views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@millardayo MAREHEMU KAMWAMBIE MUNGU UKWELI FAMILIA YAKO WANAYOYATENDA KWA WATANGANYIKA 261 views · 1 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@millardayo Au mme wa Samia alikuwa anataka Katiba Mpya wakamuua. 🤔 918 views · 2 likes · 0 reposts · 2 replies Open on X →
Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezikwa jioni ya leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Wafanyabiashara pamoja na Waombolezaji https:/
1:51
6.1K views · 57 likes · 3 reposts · 5 replies Open on X →
Kundi la Waigizaji maarufu Nchini A-List limesema moja ya vitu walivyoelimishwa na Bodi ya Filamu ni kutumia tafsida katika baadhi ya maudhui yao ili kupunguza makali. Akizungumza kwa niaba ya wenzake, Iren Uwoya amesema “uzuri ni kwamba wameongea nasi kama Watoto wao, https://t
4.9K views · 45 likes · 4 reposts · 1 replies Open on X →
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ametoa pole kwa wafiwa akiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam, baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya uhaini hadi kesho, Septemba 8, 2026, ambapo itaendelea kwa hatua ya ushahidi. Hata hivyo, Lissu hakueleza pole
15.6K views · 278 likes · 18 reposts · 5 replies Open on X →
Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezikwa jioni ya leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Wafanyabiashara pamoja na Waombolezaji https:/
10.5K views · 144 likes · 11 reposts · 6 replies Open on X →
PICHA: Watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi na Waumini wa Dini ya Kiislamu, wamejitokeza katika Msikiti wa Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, kushiriki Swala ya Maiti kufuatia kifo cha Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu
10.1K views · 149 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
@millardayo Huu ni upuuzi san, kuna heka laki tatu kule KWALA DRY PORT amabzo zinaweza kuhifadhi asilimia 85 hadi 90 ya mizigo inayoingia hapo Bandarini, kwanini wanakomaa kuanzisha bandari kavu myingine huku mjini?? 2.3K views · 12 likes · 1 reposts · 2 replies Open on X →
@millardayo Kujenga bandari kavu ndani ya jiji ni kujaza foleni tu kati kati ya mji hata hayo maflyover na mwendokasi ni kazi bure. Kwqnini msijenge nje ya miji kibaha chalinze huko kuna mapori kibao? 3.1K views · 14 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
@millardayo Kwenye mkataba wa DP world kulikua na kipengere cha Wakitaka eneo lolote wapewe 5.7K views · 45 likes · 1 reposts · 3 replies Open on X →
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amesema kutokana na ongezeko la shehena katika Bandari ya Dar es salaam, kuna mpango unaotarajiwa kuhusisha kuhamishwa kwa Wakazi wa Kata 10 za Wilaya hiyo ili kupisha shughuli za Bandari Kavu. Kauli ya DC Mapunda inakuja baada ya kuibuka
102.8K views · 522 likes · 29 reposts · 90 replies Open on X →
@millardayo Wale vijana waliouwawa kwenye Banda la mpira Mwanza mbona hakujitokeza kukemea mauaji yale? Heche andika barua haraka, huyu mpuuzi yuko kimya serekali inafanya siasa za kipuuzi, sasa watu wanatembea na upuuzi wao anajiliza. 288 views · 14 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@millardayo Kama mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi yaliingia kwenye soka Bax hata mapambano dhidi ya utekaji, mauaji, ufiraji, ubambikaji kesi vitaingizwa ili kuvikomesha na Wala hapa sio ma swala ya siasa bali mstakabali wa uhai, usalama na ustawi wa jamii sio tu kupayuka soka 487 views · 9 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
@millardayo Anaongea kama mwanaccm na diwani ama mwana michezo?mbona hatukumsikia akizungumzia kuhusu Yale mauaji ya vijana wanadogo under 17 yaliyofanywa na serikali ya ccm? 905 views · 11 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
Msemaji wa Timu za Taifa, Haji Manara amewataka Wanasiasa kuacha kuingilia masuala ya soka, akisisitiza kuwa michezo inapaswa kubaki kuwa chombo cha umoja na si sehemu ya mvutano wa kisiasa. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Julai 30, 2026 Manara amesema kauli yake https:/
4:33
62.8K views · 153 likes · 14 reposts · 78 replies Open on X →

Rispetto ad account della stessa dimensione

17 post degli ultimi 90 giorni, accanto alla fascia di 1M–10M follower. raggiunge meno persone di account della stessa dimensione.

Visualizzazioni mediane3 099questo account17 450mediana per 1M–10M
Copertura, %0.10%questo account0.80%mediana per 1M–10M
Interazione, %0.86%questo account1.04%mediana per 1M–10M
MetricaQuesto accountMediana per 1M–10MRapporto
Visualizzazioni mediane per post3 09917 4500.18×
Copertura (visualizzazioni ÷ follower)0.10%0.80%0.12×
Tasso di interazione0.86%1.04%0.83×

Altri account di questa fascia →   Confronta con un altro account →   Come sono costruiti questi parametri →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

28830 Jul
102.8K5 Sep
5.7K
3.1K
2.3K
10.1K7 Sep
10.5K
15.6K
4.9K
6.1K
918
261
203
97

Last 14 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

4.86%30 Jul
0.64%5 Sep
0.86%
0.48%
0.69%
1.48%7 Sep
1.53%
1.94%
1.02%
1.06%
0.44%
0.38%
0.49%
0.00%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 1M–10M accounts is 1.04%.

What the audience does

Likes78.8%1 457 in total
Reposts4.5%83 in total
Replies10.5%195 in total
Quotes1.4%25 in total
Bookmarks4.8%89 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

Followers by day

7 Sep

Daily snapshots since 07 Sep 2026; the dashed line is the starting count.

Account simili