tweetindex
PT

BAD NUMBER🥷🏿

@ByCardoJason · Centralzone East Zoo · joined 06 Apr 2020

BELIEVER & BRAINER | BEYOND HUMANITY.🪐🧘🏿‍♂️

15 575Followers
5 136Following
30 871Posts total
625.4KViews on collected posts

Posts recentes

ROHO hufuatisha IMANI, kuna magonjwa feki watu hurogwa na humvaa mtu kama mazingaombwe. Lengo ni ukiambiwa au ukijiona jinsi unaumwa udhoofike kiimani ndani “hivi nitapona kweli?” KITENDO cha kuweka SHAKA ni unashusha nguvu ya kiroho ndani yako kitu ambacho ni KOSA kiimani. 1K views · 31 likes · 11 reposts · 8 replies Open on X →
@ByCardoJason Wiki nakula milion 7 mwanang @ByCardoJason umelud 89 views · 1 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
@ByCardoJason Nimekuwaza siku 2 hizi Bro, Kwema? 405 views · 4 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
1) Usinichecki maana ile namba wanaitrack hawa wajanja wenye nchi nipe code ndo upige -Dizasta Vina✍🏿 2) Nitumie tu email ukinikosa kwa namba, kama muhimu sana tukutane boda namanga -Dizasta Vina✍🏿 10.7K views · 283 likes · 56 reposts · 29 replies Open on X →
Go listen to Kanye, XXXTENTACION & Nipsey Hussle. There’s more than music in that sh*t. 4.1K views · 20 likes · 5 reposts · 5 replies Open on X →
“Rhapsody Of Realities” by Chris Oyakhilome.🧠🙌🏿 Maandishi yake yanakujaza nguvu kiimani, ukianza kumsoma unaibua nguvu za kiungu ndani yako, na unafeel changes ya kutokuwa mwanadamu wa kawaida. Nipo hapa kusema nguvu nitakayo kuwa nayo kuanzia sasa ni EXTRAORDINARY. 3.8K views · 26 likes · 5 reposts · 7 replies Open on X →
Twende taratibu mpaka siku tuelewane, 1.4K views · 13 likes · 4 reposts · 0 replies Open on X →
@ByDurahRich @Giantism_255 @GpixelP @MissChelsea1221 @AminaHafidh1 @dishon_ezra_ @raisi_wa_buza @MissLove2022 @ClaudyJrJunior1 @CypherSmitRowe Uko vizuri lakini Kuna mambo unachanganya mkuu. Katika kitabu Cha mwanzo walioitwa WANA WA MUNGU SI malaika Bali ule UZAO ULIOFUATA BAAD 5K views · 32 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
IKUMBUKWE MUNGU HAKUMUUMBA MWANADAMU AWE MUASI (Rejea zote umepewa fanya tafiti ongezea na maarifa aliyokupa Mungu ndipo uje tubishane) #MCHAPO 3.4K views · 91 likes · 11 reposts · 5 replies Open on X →
Alishirikiana na Rafaimu na Zanzuimu, baadaye, walikamatwa na wamefungwa na Mungu ktk Gereza kuu chini ya Dunia. Jitahidi kunifuatilia au fuatilia ukipate hicho kitabu cha ufunuo wa henoko hutajuta kumfahamu kuhani.....japo ni gharama kubwa sana. 3.3K views · 64 likes · 8 reposts · 4 replies Open on X →
#Azazeli ni malaika kiongozi ktk wana wa Mungu na muasi aliyewafundisha wanadamu; mambo ya urembo,hizi make up zote za wanawake mwalimu wa hizo ni Azazeli.... ndiye aliwafundisha uchawi, silaha za kichawi, na kuwafundisha wanadamu kuwa wachawi na washirikina. 3.3K views · 64 likes · 10 reposts · 1 replies Open on X →
kuona matatizo ya watu Kama nanabii lkn Ni elimu ya Erakieli. #Samiazaeli ni moja ya malaika viongozi ktk wana wa Mungu ambaye aliwafundisha wanadamu uharibifu na uovu wa kutisha. 3.3K views · 57 likes · 8 reposts · 1 replies Open on X →
#Erakieli ni moja ya malaika mwana wa Mungu aliyeasi ambae baada ya kuasi aliwafundisha wanadamu kufanya mazingaombwe... huyu ndiye chanzo cha elimu yote ya mazingaombwe hapa duniani ambapo hata makanisani imeingia na watumishi baadhi matapeli huzitumia kufanya miujiza, 3.3K views · 66 likes · 9 reposts · 1 replies Open on X →
#Beneh_Elohim ni moja ya malaika kutoka kundi la wana wa Mungu ambao wamefungwa hivi sana akisubiri hukumu......kitabu hiki cha henoko kimeandika. 3.3K views · 59 likes · 6 reposts · 1 replies Open on X →
Shetani alikuwa anaufahamu mpango wa Mungu Kumpa Ibrahimu nchi ya Kanaani, akaamua kuiwahi ardhi hii na kuwaweka wanefili..... wewe jiulize tu wanefili kwanini waliatamia sana Lakini nchi ya kanaani? Lakini hakufanikiwa katika hili. 3.3K views · 59 likes · 4 reposts · 1 replies Open on X →
Shetani alijua malaika wakikutana kimwili na wanadamu itapelekea damu ya Yesu Kristo isiwe ya mwanadamu, bali ichanganyike na ile ya wanefili (majitu), Lakini shetani hakufanikiwa ktk mpango huu. 3.2K views · 57 likes · 5 reposts · 2 replies Open on X →
Shetani kwa kuwatumia malaika wenzake waitwao; wana wa Mungu, aliamua kuingilia mfumo wa damu za wanadamu kwa kuwashawishi malaika wafanye ngono na wanadamu. Maana alijua Yesu Kristo atazaliwa Duniani ili kuwakomboa wanadamu na dhambi zao. 8.2K views · 101 likes · 8 reposts · 5 replies Open on X →
Mungu Mtakatifu. MUNGU ANAMFUNULIA HENOKO MPANGO NA SIRI ZA SHETANI:= Shetani alitoka mbinguni baada ya kufukuzwa, aliposhindwa vita, lakini alikuwa akijua mipango mingi sana na siri nyingi sana za Mungu Akanza mkakati maalumu wa kuvurugua mipango ya Mungu. 8K views · 88 likes · 6 reposts · 2 replies Open on X →
ukristo, Waprotestanti wakakipiga marufuku kitabu hiki na vinginevyo vya Biblia Takatifu. Lakini hata sasa bado Kitabu cha Henoko kipo, kimetunzwa na kimehifadhiwa. Wanafunzi wa Biblia Wanaposoma na kufikia, kiwango cha juu hasa katika kujifunza kujua Asili na ufunuo wa mambo ya 8.1K views · 93 likes · 7 reposts · 1 replies Open on X →
Malaika waitwao wana wa Mungu Kuzaa na wanadamu, aliwatisha sana Waisrael, hadi alipouawa na Daudi Kwa Ajabu ya Mungu Kupitia jiwe. 8. Honoko alikuwa Nabii wa kiwango cha juu sana. Alifunuliwa ; siri za mbinguni, siri za malaika, siri za wanadamu na siri za shetani. Aliona maono 9.1K views · 91 likes · 8 reposts · 1 replies Open on X →
7. Baadhi ya Wanefili walisalimika katika gharika ya Nuhu, ndio maana wakati wa kuiteka Yeriko wapelelezi wa Yoshua walileta taarifa ya wanefili (majitu) na jinsi wao walivyojiona kama panzi mbele yao. Wakati wa Daudi Aliinuka Goliathi moja ya majitu yanayotokana na ; 8.5K views · 86 likes · 8 reposts · 2 replies Open on X →
6. Baada ya malaika waitwao wana wa Mungu kuzaa na wanadamu, walizaliwa wanadamu wenye urefu wa zaidi ya futi; 20, yaani Majitu== Mfano; wanefili, wana wa Anak, na Warefai. Mungu Alimweleza Henoko kwa kirefu sana juu ya gharika ya Nuru na jinsi itakavyokuwa. Henoko 7:1 8.7K views · 93 likes · 11 reposts · 1 replies Open on X →
“ Kwahiyo imempasa mwanamke awe na dalili ya kumilikiwa kichwani, kwa ajili ya malaika, ukitazama katika biblia Takatifu, Nukuu ya 1Kor 11:10, inaelekeza ; Mwanzo 6:2, kama andiko ambatanishi na linalosindikiza habari hii. 8.8K views · 90 likes · 9 reposts · 2 replies Open on X →
(malaika walioasi), lakini Mungu Alikataa, maana mbingu zilipata aibu kubwa sana. Ndio maana wakati wa mtume Paulo, wamama waliambiwa wafunike vichwa kwa ajili ya malaika. Lengo ilikuwa ni kuwazuia malaika wasijaribiwe tena kwa kuwatamani wanawake na kuwaka tama. 1Kor 11:10 8.9K views · 105 likes · 10 reposts · 2 replies Open on X →
ndipo wale malaika waharibifu walioasi na kufanya ngono na kuwaoa wanadamu, kinyume na sheria ya Mungu inavyowataka, walikamatwa na kufungwa ktk gereza kuu lililochini sana ya Dunia. Soma Yuda 1:6 ndie pekee aliyetoa hii siri maana alisoma Sana kitabu hiki cha henoko. 9.5K views · 91 likes · 10 reposts · 2 replies Open on X →
kwa siku kadhaa na kuharibu kusudi la Mungu Aliye Hai 4. Baadhi ya malaika waaminifu, katika kundi liitwalo WANA WA MUNGU, walirudi mbinguni na kumweleza Mungu juu ya uchafu wa ngono ulifanywa na malaika wenzao hapa Duniani.== 9.7K views · 88 likes · 11 reposts · 2 replies Open on X →
kwa kufanya ngono na wanadamu, Mwanzo 6:1-7 na Dunia ikaharibika. Ndio maana kwa kuona aibu wataalamu na watafiti wa maandiko matakatifu (Biblia) waliamua Kitabu hiki kiondolewe kisiwekwe pamoja na vitabu vingine vya Biblia Takatifu. Uovu huu na uchafu huu uliendelea 9.9K views · 101 likes · 11 reposts · 1 replies Open on X →
chanzo kikuu ni nchi za magharibi ambako Kuna mbegu nyingi Sana za malaika waasi. 3. Malaika Azazel, ambaye ndiye aliyekuwa kamanda mkuu wa kikosi hiki cha malaika waitwao; WANA WA MUNGU, kuwazuia malaika wenzake kutenda ushenzi na uchafu wa kutisha, 10K views · 95 likes · 11 reposts · 2 replies Open on X →
2. Malaika waitwao wana wa Mungu waliwafundisha wanadamu wakati huo namna ya kutengeneza silaha za aina mbalimbali.....silaha zote unazoziona duniani America,urusi,Korea,ktk falme za kiarabu, Israel, sio Mungu aliyewapa ujuzi wa kutengeneza Bali Ni hawa malaika waasi...... 10.6K views · 107 likes · 10 reposts · 2 replies Open on X →
1. Henoko alifunuliwa kazi mbalimbali na utendaji wa aina hii ya malaika waitwao; Wana wa Mungu. 10.6K views · 91 likes · 9 reposts · 1 replies Open on X →

Em comparação com contas do mesmo porte

6 posts dos últimos 90 dias, ao lado da faixa de 10K–100K seguidores. aparece para mais gente do que contas do mesmo porte.

Mediana de visualizações2 406esta conta924mediana para 10K–100K
Alcance, %15.45%esta conta3.62%mediana para 10K–100K
Engajamento, %1.74%esta conta1.52%mediana para 10K–100K
MétricaEsta contaMediana para 10K–100KProporção
Mediana de visualizações por post2 4069242.60×
Alcance (visualizações ÷ seguidores)15.45%3.62%4.27×
Taxa de engajamento1.74%1.52%1.14×

Outras contas desta faixa →   Comparar com outra conta →   Como estas referências são construídas →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

3.3K23 Jan
3.3K
3.3K
3.3K
3.3K
3.4K
5K
1.4K24 Jan
3.8K8 Aug
4.1K10 Aug
10.7K23 Sep
405
89
1K24 Sep

Last 14 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

2.00%23 Jan
2.30%
2.02%
2.28%
2.29%
3.15%
0.66%
1.21%24 Jan
1.00%8 Aug
0.73%10 Aug
3.45%23 Sep
1.23%
2.25%
4.96%24 Sep

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 10K–100K accounts is 1.52%.

What the audience does

Likes85.0%2 247 in total
Reposts10.2%271 in total
Replies3.6%94 in total
Quotes0.1%2 in total
Bookmarks1.1%30 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Contas semelhantes