tweetindex
PT

Dr John Magufuli

@MagufuliJP · Tanzania · joined 16 Jul 2015

The Fifth President of The United Republic of Tanzania.

965 931Followers
8Following
241Posts total
0Views on collected posts

Posts recentes

Nimesikitishwa na kifo cha Prof. Benno Ndulu (Ex-Governor BOT). Pole kwa familia na wafiwa wote. Nitamkumbuka kwa ushauri wake wa kuimarisha uchumi wa nchi yetu hususani mageuzi ktk sekta ya fedha. Alikuwa mchapakazi na mnyenyekevu. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi,Amina 0 views · 4.3K likes · 429 reposts · 733 replies Open on X →
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Natoa pole kwa Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi, Familia, Wazanzibari, wanachama wa ACT-Wazalendo na Watanzania wote. Mungu amweke mahali pema peponi,Amina 0 views · 5.1K likes · 710 reposts · 775 replies Open on X →
Kwa miaka 44 chama cha CCM kimeendelea kuongoza mapambano ya kulinda heshima na uhuru wa Tanzania, kazi iliyoasisiwa na vyama vya TANU na ASP. Hongereni Watanzania; Hongereni Waafrika 0 views · 2.6K likes · 289 reposts · 460 replies Open on X →
@MagufuliJP Tanzanians & so angry at their president Dr Magufuli for being the first to congratulate Museveni. So much anger in Tanzania, Rwanda, Kenya, Sudan, Burundi. and around the world. Stop congratulating a thief looter Museveni Thank you Tanzanians I love U https://t.co/h
0 views · 123 likes · 14 reposts · 9 replies Open on X →
@MagufuliJP Mh. Rais kwanza nikutwange kasawali ina maana umetumia VPN kutweet hapa..? Au umewaomba TCRA watoe PIN kwa muda ili urushe hii AIBU YAKO...?? KINGINE hivi unajisikiaje kuwa kiongozi wa namna ya wewe ambaye kwa mfano mdogo tu wa tweet yako hii unaona kabisa unaombewa 0 views · 92 likes · 4 reposts · 1 replies Open on X →
@MagufuliJP @MagufuliJP Afadhali Rais umesema ukweli kwamba kwa kutangazwa na tume ya uchaguzi na siyo kwa kuchaguliwa na wananchi wa Uganda. Hongera Rais kwa kutambua hilo. 0 views · 160 likes · 5 reposts · 3 replies Open on X →
Nakupongeza Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kwa kutangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Uganda kuwa mshindi wa kiti cha Urais. Tanzania itaendeleza urafiki na udugu wetu kwa maslahi mapana ya wananchi. Hongereni Waganda kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu, endeleeni kudumisha amani na upendo. 0 views · 3.4K likes · 548 reposts · 1.4K replies Open on X →
@MagufuliJP Mzee hmetumia lugha gani kuongea xi jimping? Raisi wa china? Kakubali kumalizia sgr,?maana kafeza ka ndani kwishney,nazani jiandae kisaikolojia China watatunyoosha tuu si uliwavurugia mkataba toka mwanzo ukakimbilia waturuki 0 views · 54 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
@MagufuliJP Mbona husemi ufadhili wake kwa ccm?now utajichotea mapesa kwenye akaunti zake maana ndiyo kamchezo kako 0 views · 64 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@MagufuliJP Mzee faza ivi ramani ya tunapo elekea unayo kweli au ndo tukaushe zetu? 0 views · 43 likes · 3 reposts · 3 replies Open on X →
Nimesikitishwa na kifo cha Ndg. Subhash Patel. Wakati wa uhai wake ametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya viwanda, kukuza biashara na kuzalisha ajira kwa Watanzania wengi. Natoa pole kwa Familia, CTI, TPSF na TNBC ambako alishiriki vizuri. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un. 0 views · 2.1K likes · 211 reposts · 272 replies Open on X →

Contas semelhantes