tweetindex
RU

Godbless E.J. Lema ✓

@godbless_lema · joined 24 Mar 2017

Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father

1 250 753Followers
1 110Following
13 175Posts total
2.6MViews on collected posts

Последние посты

Ktk submission inayoendelea kwenye kesi ya Uhaini ya Mhe. Lissu, kwa ninavyoona na kufikiri, Serikali haina njia ya kushinda kesi hii kwa hoja na ushahidi uliowasilishwa. Haiwezekani Majaji wafumbe macho mbele ya mapungufu makubwa sana ya kisheria na hoja zinazowekwa sana wazi ht
14.3K views · 417 likes · 65 reposts · 25 replies Open on X →
https://t.co/f3EpVvsSdj
3:44
2:34
25.5K views · 686 likes · 114 reposts · 9 replies Open on X →
#LIVE: MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU https://t.co/apKk2JoXdS via @YouTube 16.7K views · 98 likes · 18 reposts · 2 replies Open on X →
Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha. Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na upotoshaji uliokuwa ukifanyika juu yangu na misimamo juu ya chama chetu. Nimedumu katika 268.5K views · 1.7K likes · 225 reposts · 447 replies Open on X →
https://t.co/7y4IynEhoj
1:44
69.5K views · 1K likes · 136 reposts · 68 replies Open on X →
https://t.co/6tM3Mw4m0a
4:37
93.3K views · 463 likes · 84 reposts · 62 replies Open on X →
Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip. Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Karibuni sana. 254.7K views · 980 likes · 81 reposts · 437 replies Open on X →
NINAENDELEA KUTAZAMA BILA HOFU. Kwanza, Kamati Kuu ya CHADEMA, mahali popote, haijawahi kujadili AJENDA ya Maridhiano tangu Oktoba 29 mpaka sasa. Pili, hakuna watu wawili, watatu au kikundi cha watu ambao wamewahi kwenda kwa Makamu Wenyeviti, Katibu Mkuu au Manaibu Katibu Wakuu
7:45
324.1K views · 954 likes · 105 reposts · 626 replies Open on X →
@godbless_lema @YusuphBonito1 Kuna mtu ana CHUKI kama Samia ? Watu wote wale alioua mama yako huyo unaongelea CHUKI ? Kuna watu wana CHUKI kuliko maCCM ? Hakuna mtu atampenda Samia kwa msiba mkubwa alisababisha kwenye hili Taifa Tuna muombea mabaya mengi zaidi 14K views · 295 likes · 33 reposts · 12 replies Open on X →
@godbless_lema Ahsante studio. Naomba niwawakilishe ma key warriors wengine kwa kuomba kwanza mturudishie tone tone zetu. Milivyokuwa mnatuomba tone tone hamkujua sisi ni makey board warriors?? Hizi busara zenu na upendo na amani kwa waliotuua October 29 mbona hamkutuambia kabla 40.7K views · 966 likes · 99 reposts · 80 replies Open on X →
@godbless_lema Keyboard na microphone hizo ndio zilimpambania Lissu akshinda uchaguzi, lakini pia hizo ndio zilifanya maandamano ya #MO29 yakawa. Hizo njia za AMANI unazoziamini hazipo sawa, watu tumepoteza Wapendwa wetu kwa KUULIWA, KUTEKEWA NA KUTOKUPEWA MIILI YAO TUZIKE, nchi 18.8K views · 694 likes · 80 reposts · 23 replies Open on X →
Nimeona matusi na sintofahamu nyingi mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa kutoa pole kwa Mama Samia, hasa niliponukuu salamu za pole za Mwenyekiti Lissu kutoka gerezani. Kwa sisi jamii tunaodai kupigania uhuru wa maoni na demokrasia, hili linapaswa kutufikirisha. Kutofautiana 579.7K views · 1.2K likes · 182 reposts · 815 replies Open on X →
Kumpenda adui yako hakumaanishi kukubaliana na uovu wake, wala kusahau maumivu aliyokusababishia. Maana yake ni kukataa kuacha chuki ibadilishe moyo wako. Unaweza kusimamia ukweli, kudai haki na kupinga uovu, bila kugeuka kuwa mtu wa chuki. Huo ndio ushindi mkubwa. kumshinda adui
0:34
212.6K views · 918 likes · 82 reposts · 269 replies Open on X →
@godbless_lema Haki ya Mungu this will be used kama ile ya FORD na CCM watahalalisha kua mama anapewa pole na CDM Stupid 2.1K views · 31 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
@godbless_lema Wewe endelea kumuita "mama" mwenyekiti alisema hawezi kumuita mama ni mama yake abduli 3.8K views · 53 likes · 1 reposts · 2 replies Open on X →
M/kiti Lissu anakupa pole sana kwa kufiwa na mume wako kipenzi. Tukiwa mahakamani takribani mara mbili, amesisitiza salamu zake zikufikie pamoja na pole zake kwako, watoto na ndugu zako wote. Lissu ni mtu mwenye upendo mkubwa kwa watu na anayesimamia haki. Ninaamini kama https:/
513.5K views · 832 likes · 101 reposts · 474 replies Open on X →
Huyu Arifu vipi ? Nyie mnamuelewa kweli wajameni !!! https://t.co/1uBkjnMJNG
73.6K views · 725 likes · 43 reposts · 70 replies Open on X →
https://t.co/T9m4awaPzT
0:23
71.5K views · 1K likes · 160 reposts · 33 replies Open on X →
Pamoja na umuhimu mkubwa wa IBADA katika jamii, ni muhimu sana ujenzi wa nyumba za ibada katika maeneo ya makazi uzingatie usalama, mipango miji, faragha na utulivu wa maisha ya watu. Si jambo la baraka, wala si kumpenda Mungu kujenga nyumba ya ibada kwa namna inayowasumbua, 31.9K views · 488 likes · 68 reposts · 23 replies Open on X →

На фоне аккаунтов своего размера

19 постов за последние 90 дней рядом с диапазоном 1M–10M подписчиков. показывается далеко за пределами своей аудитории, и она отвечает.

Медианные просмотры69 495этот аккаунт14 648медиана для 1M–10M
Охват, %5.56%этот аккаунт0.74%медиана для 1M–10M
Вовлечённость, %1.47%этот аккаунт0.70%медиана для 1M–10M
ПоказательЭтот аккаунтМедиана для 1M–10MОтношение
Медианные просмотры на пост69 49514 6484.74×
Охват (просмотры ÷ подписчики)5.56%0.74%7.51×
Вовлечённость1.47%0.70%2.10×

Другие в этом диапазоне →   Сравнить с другим аккаунтом →   Как считаются эти ориентиры →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

2.1K11 Sep
212.6K
579.7K14 Sep
18.8K
40.7K
14K
324.1K
254.7K15 Sep
93.3K16 Sep
69.5K
268.5K
16.7K19 Sep
25.5K
14.3K24 Sep

Last 14 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

1.51%11 Sep
0.60%
0.41%14 Sep
4.24%
2.84%
2.44%
0.54%
0.62%15 Sep
0.66%16 Sep
1.80%
0.92%
0.71%19 Sep
3.18%
3.55%24 Sep

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 1M–10M accounts is 0.70%.

What the audience does

Likes67.1%13 615 in total
Reposts8.3%1 677 in total
Replies17.1%3 478 in total
Quotes1.8%368 in total
Bookmarks5.7%1 162 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Похожие аккаунты