tweetindex
TH

EastAfricaRadio ✓

@earadiofm · Dar es Salaam, Tanzania · joined 08 Oct 2011

Official account for East Africa Radio

1 416 009Followers
9Following
201 195Posts total
202.3KViews on collected posts

โพสต์ล่าสุด

Tunapoelekea nitakuja kuoa sababu ya maneno ya watu 😅ujumbe msikilizaji wa #PilikaPilika ya #EastAfricaRadio. #PilikaPilika https://t.co/LAb4CXcttY
0:57
4.9K views · 43 likes · 4 reposts · 0 replies Open on X →
Mwanamke umezaa nae lakini ana kadi 2 za Kliniki ukigombana nae anasema mtoto sio wako. #PilikaPilika https://t.co/iMVPmeWbom
1:23
5.6K views · 55 likes · 3 reposts · 0 replies Open on X →
Sakata la ugomvi wa Super Market kati ya mteja na cashier. #PilikaPilika https://t.co/dttjQNXq3u
1:40
18.2K views · 233 likes · 11 reposts · 8 replies Open on X →
Mtu kugombana na mpenzi wake mpaka kutishiana kuachana sababu kutopostiwa mitandaoni! #PilikaPilika @PALMBOX1 https://t.co/aR5H3Lgmq7
1:11
2.7K views · 7 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
🗣 @eddienyota5 anawashauri wapendanao kupeana likizo kwenye mahusiano yao ili akili zikae sawa na kulifanya penzi lenu kuwa jipya. #PilikaPilika https://t.co/uxX3cFOIhv
1:02
3.5K views · 25 likes · 3 reposts · 4 replies Open on X →
#HABARI Aliyekuwa Waziri wa Elimu na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Balozi Nicholas Kuhanga, amefariki dunia akiwa na miaka 93. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumapili, Septemba 20, 2026, na Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa William Anangisye, Balozi https
2.4K views · 19 likes · 2 reposts · 1 replies Open on X →
#HABARI Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka, MSF, limeonya kuwa mlipuko wa Ebola nchini DRC bado unaenea katika maeneo mapya. Serikali imeanza kuwachanja wahudumu wa afya, huku zaidi ya watu 3,600 wakiripotiwa kufariki. Shirika hilo limeonya kuwa mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri
1.8K views · 8 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
#HABARI Waziri wa Habari, utamaduni , sanaa na michezo Mheshimiwa Makonda amefika Bara la Ulaya na kukutana na wachezaji wa klabu maarufu duniani ya FC Barcelona, nyota waliowahi kufanya maajabu makubwa katika soka la dunia. Akihitimisha ziara yake ya kihistoria, Mheshimiwa http
2:09
13.6K views · 95 likes · 7 reposts · 13 replies Open on X →
#HABARI Watu sita, akiwemo Afisa mmoja wa Wanyamapori, Askari wa TAWA, walinzi wawili wa Hifadhi za Vijiji (VGS) na madereva wawili, wameuawa baada ya kundi linalodaiwa kuwa la wafugaji kuvamia kambi ya askari wa doria katika Hifadhi ya Wanyamapori Iswagala, Kijiji cha Utimle, ht
3:24
234 views · 2 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
#HABARI Waziri wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi, na mwenzake wa Pakistan, Ishaq Dar, wamejadili hali ya usalama mashariki ya kati, wakati juhudi za kutatua mzozo wa kijeshi kati ya Marekani na Iran zikionekana kukwama. Katika mazungumzo yao kwa njia ya simu mapema leo, ht
671 views · 4 likes · 3 reposts · 0 replies Open on X →
#HABARI Moshi mweusi umeonekana ukifuka karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Riyadh saa chache baada ya tahadhari za mashambulizi ya anga kutolewa katika mji mkuu wa Saudi Arabia. Hii ni mara ya kwanza kwa wakazi wa Riyadh kupewa tahadhari rasmi na kuagizwa kusalia https://
1.2K views · 6 likes · 2 reposts · 1 replies Open on X →
#HABARI Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamuru kusimamishwa kazi Kwa muda watumishi watatu ambao ni Mtendaji wa Kata, Afisa Mifugo na Mwenyekiti wa Kijiji ambao wote ni watumishi wa Kata ya Gwata, kwa lengo la kupisha uchunguzi baada ya kubainika kuhusika na migogoro ya
4:43
1.6K views · 6 likes · 2 reposts · 0 replies Open on X →
#HABARI Mkoa wa Tanga umeweka mikakati ya kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua kubwa za El Niño, huku Mkuu wa Mkoa huo, Balozi Dkt. Batilda Burian, akitoa maelekezo kwa viongozi wa wilaya, taasisi za Serikali na wadau mbalimbali kuhakikisha hatua za https:
4.8K views · 53 likes · 2 reposts · 4 replies Open on X →
Penzi la moto hili, sikiliza mpaka mwisho @itsdvoice alivyopata kiwewe baada ya kupigiwa simu na @luludivatz wakati anafanya mazungumzo na #PlanetBongo ya #EastAfricaRadio. https://t.co/MHXEHtMCVV
1:27
4.5K views · 21 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
🗣Kwa siku namwambia nampenda kama mara 400, mahaba ya @itsdvoice kwa @luludivatz #PlanetBongo https://t.co/mbyveZRRWT
1:24
2.8K views · 11 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
🗣️Msanii wa WCB @itsdvoice anasema hataki umwamba wala ushangingi kwa comments za watu wanaojaji mahusiano yake na @luludivatz #PlanetBongo https://t.co/icST5HNlXq
1:30
10K views · 58 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
#WinoMzito Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa Chadema inaendelea leo huku macho na masikio yakisubiri shahidi wa leo ambaye ni DCI #EastAfricaRadio https://t.co/kYw4MiU5TY
2:51
8.5K views · 57 likes · 6 reposts · 3 replies Open on X →
#WinoMzito Ni ripoti kutoka mkoani Mtwara ambapo Mganga wa Kienyeji mwenye miaka 23 anatuhumiwa kumbaka mteja wake wakati akimtibu #SupaBreakfast #EastAfricaRadio https://t.co/fjk0TmeaIx
2:29
198 views · 3 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
#WinoMzito Swali la siku kutoka kwa mwalimu wa zamu Godfrey Mengele. Mwanaume ungefanyaje ? #SupaBreakfast #EastAfricaRadio https://t.co/WLy0p7roEn
2:48
234 views · 2 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
#SupaBreakfast Wakili wa Mahakama Kuu Isack Saaduni amefafanua mipaka ya kujihami pale unapokutana na tatizo #EastAfricaRadio https://t.co/QYtgeELRQi
2:28
798 views · 8 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
#SupaBreakfast Ulikuwa unafahamu kuwa sheria zinaruhusu mtu kujihami pale ambapo anakuwa kwenye hatari ? Sheria inasemaje ? Msikilize Wakili Isack Saaduni katika ufafanuzi huu #EastAfricaRadio https://t.co/hrBa9pM626
1:22
803 views · 5 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
#SupaBreakfast "Kila mmoja hana hatia mpaka pale itakapothibitishwa mahakamani" Isack Saaduni, Wakili wa Mahakama Kuu #EastAfricaRadio https://t.co/nIlSRjyQmR
0:55
1.9K views · 11 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
Semaji @ahmedally_ ananyoosha maelezo juu ya vigezo wanavyozizingatia kuwachagua wasanii wa ku-performe Simba Day. #PlanetBongo https://t.co/bdJ05T7x4w
1:41
3.9K views · 31 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Afisa Habari Klabu ya Simba @ahmedally anafunguka uzushi wa taarifa kuhusu kununua akaunti ya instagram ya 20 Percent na kuigeuza kuwa ya Simba. #PlanetBongo https://t.co/KfmmRFE7B5
1:40
7.2K views · 65 likes · 4 reposts · 0 replies Open on X →
Producer Zest Soundkiller amemjibu Mr T Touchez juu ya kauli aliyotoa kuhusu wasanii wa muziki Tanzania. #PlanetBongo https://t.co/lOdDK5BK2Z
1:15
2.3K views · 8 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
🗣Kutoka kwa 20% anakanusha vikali taarifa za kuibiwa akaunti yake ya Instagram na kuuziwa klabu ya Simba. #PlanetBongo https://t.co/YProhw9SJ6
1:13
7.5K views · 56 likes · 1 reposts · 2 replies Open on X →
Mwanamuziki 20 Percent ananyoosha maelezo taarifa zilizopo mitandaoni kuhusu kuwauzia Simba akaunti yake ya Instagram. #PlanetBongo https://t.co/T6Y55q1wHw
1:23
37.9K views · 447 likes · 23 reposts · 11 replies Open on X →
#HABARI Rais wa Marekani Donald Trump ameibua mjadala mpya kuhusu uwezekano wa kuungana tena kwa Ireland, baada ya kusema akiwa Dublin kwamba angependa kuona Ireland ikiwa nchi moja na kwamba muungano huo unaweza kutokea siku zijazo. Trump alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake
3.7K views · 26 likes · 2 reposts · 0 replies Open on X →
#HABARI Ni hali ya sintofahamu ikiendelea katika Ukumbi wa JKT Nane nane jiji Mbeya kabla ya kuanza kikao cha Umoja wa Madereva na Makondakta barabara ya Mbeya – Tukuyu - Kyela. Na hapa wanamlalamikia George Mwankejela, Mwenyekiti wa Umoja wa Madereva na Makondakta njia ya http
2:08
3.9K views · 11 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
#HABARI Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Ng’wasi Damas Kamani, ameitaka Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) kuendelea kufanya tafiti kuhusu athari zinazoweza kusababishwa na mvua za El Niño katika uzalishaji wa sekta ya uvuvi, ikiwemo ufugaji wa samaki kwa njia ya
4:58
4.1K views · 26 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →

เทียบกับบัญชีขนาดเดียวกัน

41 โพสต์จาก 90 วันที่ผ่านมา เทียบกับช่วง 1M–10M ผู้ติดตาม เข้าถึงคนน้อยกว่าบัญชีขนาดเดียวกัน.

ยอดดูมัธยฐาน3 491บัญชีนี้14 648ค่ามัธยฐานของ 1M–10M
การเข้าถึง, %0.25%บัญชีนี้0.74%ค่ามัธยฐานของ 1M–10M
การมีส่วนร่วม, %0.78%บัญชีนี้0.70%ค่ามัธยฐานของ 1M–10M
ตัวชี้วัดบัญชีนี้ค่ามัธยฐานของ 1M–10Mอัตราส่วน
ยอดดูมัธยฐานต่อโพสต์3 49114 6480.24×
การเข้าถึง (ยอดดู ÷ ผู้ติดตาม)0.25%0.74%0.33×
อัตราการมีส่วนร่วม0.78%0.70%1.11×

บัญชีอื่นในช่วงนี้ →   เปรียบเทียบกับบัญชีอื่น →   ค่าอ้างอิงเหล่านี้คำนวณอย่างไร →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

4.5K18 Sep
4.8K19 Sep
1.6K20 Sep
1.2K
671
234
13.6K
1.8K
2.4K
3.5K21 Sep
2.7K
18.2K23 Sep
5.6K
4.9K

Last 14 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

0.46%18 Sep
1.22%19 Sep
0.52%20 Sep
0.78%
1.04%
1.28%
0.85%
0.51%
0.94%
0.92%21 Sep
0.33%
1.39%23 Sep
1.04%
0.96%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 1M–10M accounts is 0.70%.

What the audience does

Likes83.1%1 402 in total
Reposts4.7%79 in total
Replies3.1%53 in total
Quotes0.1%1 in total
Bookmarks9.0%152 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

บัญชีที่คล้ายกัน