Adv. Dickson Matata
@AdvMatata · joined 15 Jul 2021
advocate/ lawyer
26 068Followers
110Following
444Posts total
79KViews on collected posts
Ultimi post
Cerchiamo nuovi post…
@AdvMatata @CaptainDibbo Nakumbuka uliandika, Mheshimiwa kiongozi wa kanda ya Magharibi Wakili msomi @AdvMatata
Limebarikiwa tumbo lililo mzaa DICKSON MATATA ♥️♥️
550 views · 16 likes
· 2 reposts · 0 replies
Open on X →
@AdvMatata Good Update 👊. Unajua hata mimi nilijua hapo hakuna kesi tume yenyewe ilisema kwamba 518 + waliuwawa hapo kosa lipo wapi kwa tume au kwa mwananchi ??
697 views · 3 likes
· 0 reposts · 0 replies
Open on X →
Wiki iliyopita nili-post juu ya kesi hii ambayo Serikali iliwashtaki watu hawa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa madai kuwa waliandika katika akakunti ya Instagram kuwa " mauaji ya 29 Oktoba 2025 hayawezi kufichwa na tume ya Uchunguzi". Nikahoji kosa lao hapo ni nini
20.4K views · 849 likes
· 187 reposts · 62 replies
Open on X →

@AdvMatata Vijana wa mbowe wamekiumiza sana chama
259 views · 6 likes
· 0 reposts · 1 replies
Open on X →
@AdvMatata @HecheJohn Huyu anatakiwa kushtakiwa kwa uharibifu wa mali za chama kwa kipindi chote alichokiingiza chama matatizoni.
400 views · 11 likes
· 0 reposts · 0 replies
Open on X →
@AdvMatata Hando anausongo naye inabidi aitwe kwenye kipindi
470 views · 6 likes
· 0 reposts · 1 replies
Open on X →
Kaka Hando anafaa sana kufundisha somo la kukabia kwa juu mpirani. https://t.co/fAaRrPMjWM
16.8K views · 428 likes
· 88 reposts · 26 replies
Open on X →
1:25
Mkutano wa leo Karatu CDM tunaomba jeshi la zimamoto na uokoaji waje haraka na vifaa vya Oxygen. Watu ni wengi sana hewa inazidi kupingua kadri muda unavyosonga mbele tafadhari!!. https://t.co/9SeLau1pa3
11.8K views · 871 likes
· 153 reposts · 19 replies
Open on X →

Nchi yetu inafurahisha sana. Fikiria eti Serikali imewashtaki watu hawa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa kusema " mauaji ya 29 Oktoba 2025 hayawezi kufichwa na tume ya Uchunguzi" hapa kosa lao ni nini? Hivi tume ilisema wale 518 walijiua?
Nitawatetea watu hawa. https:
11.1K views · 386 likes
· 116 reposts · 23 replies
Open on X →

Moja ya hoja ambayo Bunge la Marekani limeweka kwenye "bill" kabla ya kuwa sheria dhidi ya Tanzania, ni pamoja na hoja kuwa Serikali ya Tanzania inaminya uhuru wa kuabudu (dini).
Jana wabunge waliojipitisha bila uchaguzi wanasema hakuna uhuru wa kuabudu unaominywa nchini. http
16.1K views · 513 likes
· 129 reposts · 10 replies
Open on X →
3:58
Growth & engagement
How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.
Views per post
16.1K27 May
11.1K1 Jun
11.8K8 Jun
16.8K9 Jun
470
400
259
20.4K12 Jun
697
332
550
Last 11 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.
Engagement rate per post
4.05%27 May
4.76%1 Jun
8.82%8 Jun
3.23%9 Jun
1.49%
2.75%
2.70%
5.42%12 Jun
0.43%
1.51%
3.27%
Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views.
What the audience does
Likes76.9%3 093 in total
Reposts16.8%676 in total
Replies3.5%142 in total
Quotes0.4%15 in total
Bookmarks2.4%97 in total
Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.
The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.
Account simili
Josefina2
@ZagoZago3
52.1K followers
· 97.3K posts
Nepal Embassy, India ✓
@EONIndia
52.1K followers
· 1.6K posts
Ripper's Delight
@rippersdelight
52.1K followers
· 5.2K posts
sophie
@sohoffx
52.1K followers
· 7.6K posts
Helia Molina Milman
@HeliaMolina_M
52.1K followers
· 30.6K posts
Dignity in Dying ✓
@dignityindying
52.1K followers
· 36.3K posts
松香▽
@matuka10101
52.1K followers
· 5.8K posts
郁原ゆう ✓
@yu_kahara219
52.1K followers
· 21.7K posts