tweetindex
TR

Adv. Dickson Matata

@AdvMatata · joined 15 Jul 2021

advocate/ lawyer

26 068Followers
110Following
444Posts total
79KViews on collected posts

Son gönderiler

@AdvMatata @CaptainDibbo Nakumbuka uliandika, Mheshimiwa kiongozi wa kanda ya Magharibi Wakili msomi @AdvMatata Limebarikiwa tumbo lililo mzaa DICKSON MATATA ♥️♥️ 550 views · 16 likes · 2 reposts · 0 replies Open on X →
@AdvMatata Ahsante sana wakili 332 views · 4 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
@AdvMatata Good Update 👊. Unajua hata mimi nilijua hapo hakuna kesi tume yenyewe ilisema kwamba 518 + waliuwawa hapo kosa lipo wapi kwa tume au kwa mwananchi ?? 697 views · 3 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Wiki iliyopita nili-post juu ya kesi hii ambayo Serikali iliwashtaki watu hawa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa madai kuwa waliandika katika akakunti ya Instagram kuwa " mauaji ya 29 Oktoba 2025 hayawezi kufichwa na tume ya Uchunguzi". Nikahoji kosa lao hapo ni nini
20.4K views · 849 likes · 187 reposts · 62 replies Open on X →
@AdvMatata Vijana wa mbowe wamekiumiza sana chama 259 views · 6 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
@AdvMatata @HecheJohn Huyu anatakiwa kushtakiwa kwa uharibifu wa mali za chama kwa kipindi chote alichokiingiza chama matatizoni. 400 views · 11 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
@AdvMatata Hando anausongo naye inabidi aitwe kwenye kipindi 470 views · 6 likes · 0 reposts · 1 replies Open on X →
Kaka Hando anafaa sana kufundisha somo la kukabia kwa juu mpirani. https://t.co/fAaRrPMjWM
1:25
16.8K views · 428 likes · 88 reposts · 26 replies Open on X →
Mkutano wa leo Karatu CDM tunaomba jeshi la zimamoto na uokoaji waje haraka na vifaa vya Oxygen. Watu ni wengi sana hewa inazidi kupingua kadri muda unavyosonga mbele tafadhari!!. https://t.co/9SeLau1pa3
11.8K views · 871 likes · 153 reposts · 19 replies Open on X →
Nchi yetu inafurahisha sana. Fikiria eti Serikali imewashtaki watu hawa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa kusema " mauaji ya 29 Oktoba 2025 hayawezi kufichwa na tume ya Uchunguzi" hapa kosa lao ni nini? Hivi tume ilisema wale 518 walijiua? Nitawatetea watu hawa. https:
11.1K views · 386 likes · 116 reposts · 23 replies Open on X →
Moja ya hoja ambayo Bunge la Marekani limeweka kwenye "bill" kabla ya kuwa sheria dhidi ya Tanzania, ni pamoja na hoja kuwa Serikali ya Tanzania inaminya uhuru wa kuabudu (dini). Jana wabunge waliojipitisha bila uchaguzi wanasema hakuna uhuru wa kuabudu unaominywa nchini. http
3:58
16.1K views · 513 likes · 129 reposts · 10 replies Open on X →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

16.1K27 May
11.1K1 Jun
11.8K8 Jun
16.8K9 Jun
470
400
259
20.4K12 Jun
697
332
550

Last 11 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

4.05%27 May
4.76%1 Jun
8.82%8 Jun
3.23%9 Jun
1.49%
2.75%
2.70%
5.42%12 Jun
0.43%
1.51%
3.27%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views.

What the audience does

Likes76.9%3 093 in total
Reposts16.8%676 in total
Replies3.5%142 in total
Quotes0.4%15 in total
Bookmarks2.4%97 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Benzer hesaplar