tweetindex
EN

Twaha Mwaipaya

@Twaha_Mwaipaya · FOLLOW WHATSSAP CHANNEL 👇 · joined 20 Feb 2020

.Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.

325 682Followers
3 668Following
21 487Posts total
349.5KViews on collected posts

Latest posts

@Twaha_Mwaipaya Askari anakaa Ka chokoraa 🤣🤣🤣au alikua muhun mwenzao Tena unga ltd hakuna askari anaenda kamata mtu pekeake tena bila silaha Ngaleloo wamepinda , Askari wanajua hilo hawakamati mtu kizembe na fimbo kama anaswaga mbuzi 550 views · 2 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
Kuangalia VIZURI video hii utaona Pingu mikononi, Unaambiwa Polisi alipigwa roba Matata amejachafua sana Hali ya HEWA. Wananchi wamechoka manyanyaso ya kijinga, bila Shaka tukio hili Polisi mnalakujifunza, kama Polisi anapigwa watu wanashangilia hatua hii ni mbaya sana 1.5K views · 24 likes · 5 reposts · 0 replies Open on X →
Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea kichapo Mpaka akawafungulia Pingu, wananchi hakuna hata mmoja alieamulia walikuwa wanashangilia tu, baada ya Polisi kuwafungulia Pingu Vijana hao akachukuwa boda akakimbia. 1.6K views · 19 likes · 4 reposts · 1 replies Open on X →
Kaka Mwaipaya habari? Leo hapa Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja. https://t.co/f0LJ8xu0Ol
0:47
14.2K views · 153 likes · 22 reposts · 10 replies Open on X →
"Wanataka kula kichwa ya mwenyekiti" Tundu Lissu https://t.co/W64cIoIvCM
1:54
6.5K views · 250 likes · 47 reposts · 1 replies Open on X →
GAIDI sasa yupo huru https://t.co/SESP0g2pzq
11.3K views · 805 likes · 108 reposts · 13 replies Open on X →
Jana wakati shahidi upande wa utetezi Mh. John Wegesa Heche anahojiwa na mshtakiwa Tundu Lissu alitaja vifo vingi ambavyo vimetokea ili kuwathibiti CHADEMA hasa hasa kipindi cha Uchaguzi. Vifo vyote hivyo vimefanywa aidha na polisi, wanachama, wafuasi na mashabiki wa CCM. https:
11.5K views · 482 likes · 65 reposts · 2 replies Open on X →
@Twaha_Mwaipaya Pole Twaha 🤲 14.9K views · 312 likes · 10 reposts · 2 replies Open on X →
@Twaha_Mwaipaya Pole saana bro… Wamekuwekea mi Alama kama ya CHICCA the Boss… Mungu yupo! Tusiogope tutashinda… Alafu hapa walikutoa kwenye uchaguzi wa chama- wakamuweka yule msaidizi wa FAM- baada ya uchaguzi hata sijui alipotelea wapi💔💔 24.6K views · 391 likes · 27 reposts · 43 replies Open on X →
@Twaha_Mwaipaya Pole sana rafiki yangu, uzuri ni kwamba utawala huu uko mwishoni wote waliofanya haya watawajibika. Mungu yupo. 13.8K views · 449 likes · 35 reposts · 15 replies Open on X →
Mateso yote haya ni kwasababu nilienda Mahamani kufuatilia kesi ya Uhaini ya Mchongo aliyopewa Mh. Tundu Lissu, nikakamatwa Mimi na wenzangu 8 tukapelekwa pori la UNUNIO tukateswa kisha tukaenda kutupwa mbuga ya wanyama ya Pande Bagamoyo. Karibia mwili mzima umevilia damu, http
249.1K views · 3.7K likes · 948 reposts · 611 replies Open on X →

Against accounts of the same size

7 posts from the last 90 days, next to the 100K–1M follower range. shown far beyond its own audience, and the audience reacts.

Median views6 467this account3 969median for 100K–1M
Reach, %1.99%this account1.54%median for 100K–1M
Engagement, %1.98%this account1.32%median for 100K–1M
MetricThis accountMedian for 100K–1MRatio
Median views per post6 4673 9691.63×
Reach (views ÷ followers)1.99%1.54%1.29×
Engagement rate1.98%1.32%1.49×

Others in this range →   Compare with another account →   How these benchmarks are built →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

249.1K25 Apr
13.8K
24.6K
14.9K
11.5K10 Sep
11.3K
6.5K11 Sep
14.2K
1.6K
1.5K
550

Last 11 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

2.13%25 Apr
3.61%
1.87%
2.18%
4.77%10 Sep
8.20%
4.61%11 Sep
1.31%
1.53%
1.98%
0.36%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 100K–1M accounts is 1.32%.

What the audience does

Likes75.9%6 627 in total
Reposts14.6%1 271 in total
Replies8.0%698 in total
Bookmarks1.6%136 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Similar accounts