tweetindex
EN

LHRC

@humanrightstz · Kijitonyama, Dar es Salaam · joined 27 Sep 2010

#Tanzania's leading Human Rights #Advocacy organization Providing #LegalAid to the marginalized and conduct strategic litigation.

110 983Followers
503Following
16 641Posts total
1.4KViews on collected posts

Latest posts

@humanrightstz @NorAmbTZ @NorwayMFA Kuzungumzia Siku ya Demokrasia Duniani,huhitaji kwenda Mbali Sana. Zungumzieni kuhusu Uchaguzi wa 2024 na 2025 Okt 29. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, mwaka 2024 uliendeshwaje?Matokeo ya Uchaguzi yalikuwaje? Unafikiri kilicho tokea 2024, Watanza 12 views · 1 likes · 1 reposts · 1 replies Open on X →
@humanrightstz @NorAmbTZ @NorwayMFA https://t.co/gn4xuOkyVS
11 views · 0 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
“Watu wengi barani Afrika wanapendelea demokrasia kwa sababu wanathamini uhuru, uwajibikaji, utawala wa sheria na uhuru wa kuwachagua viongozi wao. Wakati ambapo Demokrasia inafifia, kulinda demokrasia kumekuwa muhimu zaidi kuliko wakati mwingine wowote. Sote tunakumbuka https:/
553 views · 14 likes · 5 reposts · 2 replies Open on X →
“Taifa la Tanzania limejeruhiwa na wananchi wanaishi kwa hofu kubwa kutokana na mwendelezo wa matukio ya mauaji, utekwaji, na upoteshwaji wa watu nchini. Jukumu kuu la Serikali katika nchi yoyote ni kulinda usalama wa nchi na raia wake. Matendo ya ukatili si mambo yanayopaswa htt
219 views · 3 likes · 2 reposts · 1 replies Open on X →
Mabadiliko ya Katiba si hiari ya kisiasa tena, ni hitaji la dharura. Katiba mpya yenye ubora ndiyo njia ya kuhakikisha mahakama huru, uchaguzi wa haki, usawa wa kijinsia na uhuru wa vyombo vya habari. Mazungumzo pekee hayatoshi. #UtawaBora #Mabadiliko #Demokrasia #KatibaBora htt
206 views · 2 likes · 1 reposts · 0 replies Open on X →
Demokrasia hujengwa kupitia mazungumzo ya kila siku, uwajibikaji wa pamoja na kuheshimu utawala wa sheria. Uchaguzi Mkuu wa 2025 umetufundisha masomo muhimu kuhusu sheria, taasisi na ulinzi wa haki za binadamu nchini Tanzania. #DemocracyDay #LHRC #InternationalDemocracyDay https:
136 views · 2 likes · 0 reposts · 0 replies Open on X →
“Napenda kusisitiza kwamba demokrasia si tukio la siku moja wala uchaguzi wa mara moja kila baada ya miaka kadhaa. Demokrasia ni mchakato endelevu unaohitaji taasisi imara, sheria zinazolinda haki, uwajibikaji, ushirikishwaji wa wananchi, uhuru wa kujieleza na utamaduni wa http
266 views · 6 likes · 4 reposts · 0 replies Open on X →

Against accounts of the same size

7 posts from the last 90 days, next to the 100K–1M follower range. reaches fewer people than peers, but engages them much harder.

Median views206this account5 898median for 100K–1M
Reach, %0.19%this account1.59%median for 100K–1M
Engagement, %2.74%this account1.04%median for 100K–1M
MetricThis accountMedian for 100K–1MRatio
Median views per post2065 8980.03×
Reach (views ÷ followers)0.19%1.59%0.12×
Engagement rate2.74%1.04%2.63×

Others in this range →   Compare with another account →   How these benchmarks are built →

Growth & engagement

How the posts we collected actually performed: views and reaction rate post by post, what the audience did with them, and where the follower count goes.

Views per post

26615 Sep
136
206
219
553
11
12

Last 7 collected posts, oldest on the left. The scale is logarithmic: one post can outrun the rest a hundred times over.

Engagement rate per post

3.76%15 Sep
1.47%
1.46%
2.74%
3.80%
0.00%
25.00%

Reactions — likes, reposts, replies and quotes — divided by views. Median for 100K–1M accounts is 1.04%.

What the audience does

Likes62.2%28 in total
Reposts28.9%13 in total
Replies8.9%4 in total

Share of every reaction we collected for this account. Replies mean argument, reposts mean endorsement, bookmarks mean the post was worth keeping.

The follower curve appears once this account has two daily snapshots — we take one a day, and this one is on its first.

Similar accounts